NECTA watoe ufafanuzi kuhusu matokeo ya islamic knowledge. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NECTA watoe ufafanuzi kuhusu matokeo ya islamic knowledge.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Michael Mwakyusa, Jun 5, 2012.

 1. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ni vizuri NECTA ikatoa ufafanuzi kuondoa mkanganyiko na tuhuma za waislam kwamba somo la islamic k,ledge matokeo yake kwa F6 kwamba yamechakachuliwa ili kuondoa dhana ya gonjwa hili baya la udini linaloelekea kuitafuna TZ hivi sasa.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Citizen ya leo ina ufafanuzi. kifupi ni kosa la kiufundi ambapo mwaka huu somo hilo lilikuwa na paper 2 badala ya 3 za mwaka jana. program haikubadilishwa na ilitumia factor ya mwaka jana (3) kukokotoa alama za mwisho badala ya (2) ili kuendana na paper za mwaka huu
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Ivi islamic knowledge inamwongezea nin mwanafunz,maana nijuavyo haina msaada wowote ktk kuhesabu cut off points!
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Wakati mwingine watu wako sensitive kabla ya kujua kwa undani nini/wapi kulikuwa na makosa.
   
 5. Muttaline

  Muttaline Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kaka unauliza swali hili kila siku.... nafikiri utosheke na majibu uliyopewa awali...
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Nadhani mtu mwenye busara huwa hajibu kila tuhuma, hizi tuhuma za kujinga wala hazipaswi kujibiwa. Washaurini hao watu wafuate muhtasari wa kufundishia na kufuata vigezo vya kufundishia ikiwemo kuajiri waalimu wanaofaa na wenye vigezo kielimu na si kwa imani. Kujibu tuhuma kwa ajili ya kuwaridhisha watu wala siyo tiba. Watu kama hawa wamejiandaa kulalamika so hata ungewapa wasahihihishe mtihani wao wenyewe watalalamika tu!!!!
   
 7. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  masikini weeeee!!!!! hujui hats una'argue kitu gani
   
 8. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  acha ujinga wewe.! Somo la dini litakupeleka wapi? Au wataka upate banda/msonge (A) Ili uonekane ulipata division 1 or 2 ila mwisho wa siku hulambi chuo so u need to thnk twice..afu kama kawaida shule zote za kiislamu ni zero tu nothn to gain there mtakalia majungu tu na mwisho wa siku mtakua wa MWISHO tu..mnaboa sana so ndugu zangu MJIPANGEEEE.! Ni hayo 2 kwa leo
   
 9. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu, hawa hata mkiwajibu majibu gani hawatakuelewa. Dhambi ya udini inawatafuna.
   
 10. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Udini utawamaliza. Ongezeni juhudi msitegee vya kupewa.
   
 11. s

  sugi JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Hawa wenzetu kwa kukomaa na ishu ndoooogo heeee,haya hayo madufu mtapiga sa ngapi sasa?tutakuwa tunasaishia paper msikitini sasa!
   
 12. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Necta nao watakuwa mafala sana kama kuna kosa hilo walikuwa wapi siku zote kurekebisha kasoro hizo? Ingawa ukipata A kwenye Islamic Knowlwdge huendo kokote.
   
 13. B

  Baba Mkali JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 681
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 180
  Kama hayo ni kweli basi mkurugenzi lazima wajibike. Wasiwasi wangu ni kuwa hatuna utanaduni wa kuwajibika hata pale nafsi yako inapokusuta.
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Meme au wewe??? Poleni sana wakuu!!!!! Wailers will always wail no matter what!!!!!!
   
 15. m

  mabhuimerafulu Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haya makosa kama haya yanapotokea ni hasara kwa nani?
   
 16. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi ndivyo mnavyofundisha Madrassa.
   
 17. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Waislam walalamikie kufeli BIOLOGY, CHEMISTRY, PHYSICS, ADV.MATH, GEOGRAPHY, ENGLISH NA KISWAHILI sio Islamic Knowledge, sasa kama hujui upewe kisa we mwislam? Hebu toeni takwimu za ufaulu wa masomo yenye tija. Mengine mtajadili mkifika kwenye nyumba za dini sio kulalamika tu. Haya wawape "A" halafu masomo yatakayowapeleka UDSM, MKWAWA, IFM, MZUMBE, MUHAS, CoET, TIA, CBE, UDOM na vinginevyo wana "F". Hizo A watabandika vyumbani mwa ka mapambo au? Ukiwa makini uatafaulu masomo yote na si kutegemea somo moja, ukifeli unaliiiiiiiiiiiiiiaaaaaaaaaaaaaa coz we kilaza fresh.
   
Loading...