NECTA waongeza usajili mbele mpaka tarehe 30/04/2017

Simara

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
7,512
23,929
Habari wanajf, juzi uliwekwa uzi hapa kuwa Necta wamefunga usajili kabla ya muda.

Habari nzuri ni kwamba usajili umefunguliwa tena mpaka 30/04/2017.

Mkajisajili msingoje mpaka mwishoni ufungwe tena muanze kulalamika.
 
Usajili wa kitu gani mkuu
 
Back
Top Bottom