Mkuu, wiki iliyopita nilikumbana na tatizo kama la kwako, ila nilifanikiwa baada ya kugundua kwa simbanet wanamatatizo ya ku-upload, hivyo nilikwenda cafe na kufanikiwa... Nakushauri jaribu kutumia mtandao tofauti na unaotumia sasa.
Pia mwanangu amekuja,mambo ya ajabu toka shuleni kwao kuhusiana na uandikishwaji wa necta, unaweza kucheck thread yangu kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko, (huu ni ufisadi unao fanya makongo)