Necta na matokeo chakachuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Necta na matokeo chakachuzi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, Feb 7, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ni baada ya kusoma uzi wa MwanaJamii aitwae VUTA-NKUVUTE humu javini kuhusu kuchakachuliwa kwa matokeo ya Kidato cha nne waliohitimu mwaka 2011,ndipo nikasukumwa na dhamira ya kutaka kujua ukweli.Nikafanya utafiti pale NECTA.Ni ukweli kuwa mitihani ilishamalizwa kupitishwa kwenye michakato yote kuelekea kutangazwa matokeo. Muda mrefu tu.NECTA walishajiandaa kutangaza matokeo hayo.

  Walikuwa kwenye hatua ya mwisho ya kuyaweka matokeo hayo kwenye mtandao ('website' ya NECTA).SAUTI KUTOKA 'JUU' IKAWAAMURU KUACHA KUTANGAZA MATOKEO HAYO.Ni kutoka Serikalni.Seriklai inataka matokeo bora na sio bora matokeo.NECTA walipokwa makabrasha ya matokeo na Serikali kwa kwenda 'kutengenezwa' vizuri.

  Yaliporudishwa,NECTA imeona mabadiliko makubwa.Kwakuwa kulikuwa na kumbukumbu ya yale ya mwanzo,NECTA ikaapa kuyatangaza yake ambayo ni halali.Mkono wa chuma unaendelea kuwafuata.NECTA ifanyaje?
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu hizi habari unazitoa wapi??
   
 3. J

  Jericho Jr. Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  dahhh me nimmojawapo wa 2011 candidate sijui itakuaje
   
 4. OMWENDEMUGANGI

  OMWENDEMUGANGI New Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NECT bwana, fanyeni kile ambacho WATANZANIA tunakihitaji (UKWELI) maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu
   
 5. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  viongozi wa serikali ya Tanzania wana viroboto vichwani By Lusekelo.
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  Labda wanataka kuzibeba shule za kata..
   
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  NECTA kwenyewe
   
 8. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,630
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  Fanya kama madaktari....hii serikali wapuuzi kweli.
   
 9. Z

  Zabury Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii serikali kuna vchaa kabsa.
   
 10. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  don't be impatient yatakoka tu mbona ya mwaka jana yalichelewa msitengeneze hadithi
   
 11. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Ya mwaka jana yaliwahi kutoka tena ilikuwa mwezi wa kwanza 2 ndo yakatoka,BORA 2 YATOKE HARAKA 2MECHOKA NA LIFE LA URAIANI BWANA,afu nyie necta malizeni mambo yenu yote ndiyo myatoe kwa amani na u2live na cn malumbano na serikali hii ya kipumbavu kabsa wanataka 2 wafaulishe shule zao mabwege kweli.
   
Loading...