Cambridge ni kiboko yao.Inakufanya uwe mahiri hasa.Mfano ENGLISH Utafanya paper 3.Oral{spoken}na Reading and Writing.ukifanya paper kama hizo ni lazima upate kitu.Vilevile grade za Cambridge ni tofauti sana na NECTA Mfano😛RIMARY&IGCSE A*=91_100,A=81_90,B=71_80,C=61-70,D=51-60,E=41-50,G=31-40,UNGRADED=0-30.Kazi kwako.
Nakushauri aingie kwenye curriculum ya Cambridge.Waliokwama NECTA walikombolewa kwa Cambridge.Ninayo mifano hai lukuki.Vigogo wanakimbizia wapendwa wao CAMBRIDGE.Walala hoi wanabana NECTA.Kama utarithia na maoni yangu tuma sms kwa namba 0655223661.Tueleweshane zaidi.