unaogopa o level kupiga 0
Dogo Mbona unajihami sana. Jiandae tu kukabiliana dr. Ndalichako
na Reading and Writing.ukifanya paper kama hizo ni lazima upate kitu.Vilevile grade za Cambridge ni tofauti sana na NECTA Mfano😛RIMARY&IGCSE A*=91_100,A=81_90,B=71_80,C=61-70,D=51-60,E=41-50,G=31-40,UNGRADED=0-30.Kazi kwako.