Enzi zenu ilikuwa mwaka gani,maana najua F ilianzia 0-20Leo nilikua nasikiliza Katibu mkuu wa necta akitoa taarifa ya matokeo. Kilicho nishangaza ni kuona Grade ya F ambayo ambayo inawakilisha kufeli inaanzia 0-34 kwa Olevel. Nakumbuka enzi zetu F ilikua 0-19.
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .
Mwaka gani mkuu hiyo F ya 0 - 19?Leo nilikua nasikiliza Katibu mkuu wa necta akitoa taarifa ya matokeo. Kilicho nishangaza ni kuona Grade ya F ambayo ambayo inawakilisha kufeli inaanzia 0-34 kwa Olevel. Nakumbuka enzi zetu F ilikua 0-19.
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .
Mwaka gani mkuu hiyo F ya 0 - 19?
Na kama mtu anasoma na anataka kufaulu kwann ulilie kupewa favour?
F ilianzia 21!!Enzi zenu ilikuwa mwaka gani,maana najua F ilianzia 0-20
No,21 ilikuwa "D"F ilianzia 21!!
kalime,,Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
Kwenda kidato cha tano haita wezekana hadi uwe Na C tatu hapo rudia mtihani Ili upate moja ualimu inategemea umemaliza mwaka ganiHivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
hiyo inaitwa MATOKEO MAKUBWA SASA , BRN .Leo nilikua nasikiliza Katibu mkuu wa necta akitoa taarifa ya matokeo. Kilicho nishangaza ni kuona Grade ya F ambayo ambayo inawakilisha kufeli inaanzia 0-34 kwa Olevel. Nakumbuka enzi zetu F ilikua 0-19.
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .