Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Kwa taarifa yako hata mitihani ya ualimu mwaka huu kuna madudu mengi hasa mitihani ya TEHAMA, inasemekana vituo vilifanya mitihani computer zikiwa kwenye network, watahiniwa wakawa wanahamishiana majibu kwenye network, ikumbukwe wasimamimizi waliokuwepo siyo wataalamu wa masuala hayo, na wakitaka ushahidi wafuatilie mawasiliano ya simu kati ya wasahishaji wa mitihani na walimu wa masomo hayo.Kwa litmus test hii ya kwanza kabisa kwa Athumani Amasi; ya udanganyifu kwenye mitihani ya taifa ya darasa la saba, ni wazi kabisa kwamba ama mmoja wa wafuatao arudishwe kwenye nafasi zao za awali au nchi iendelee kunasa kwy uoza:-
Wamiliki wa shule binafsi mmeitana, madudu yalikuwepo, makatibu waliopita wakawa wanawachekea....kutwa mnatapa kufaulisha.Kwa taarifa yako hata mitihani ya ualimu mwaka huu kuna madudu mengi hasa mitihani ya TEHAMA, inasemekana vituo vilifanya mitihani computer zikiwa kwenye network, watahiniwa wakawa wanahamishiana majibu kwenye network, ikumbukwe wasimamimizi waliokuwepo siyo wataalamu wa masuala hayo, na wakitaka ushahidi wafuatilie mawasiliano ya simu kati ya wasahishaji wa mitihani na walimu wa masomo hayo.
Elimu ya kujibia watoto mitihani kisha wanapata A zote wakati kichwani hamna kitu?Huyo amekuja kuharibu kwa makusudi elimu yetu
Elimu ya kujibia watoto mitihani kisha wanapata A zote wakati kichwani hamna kitu?
Yuko kimkakati kuokoa dini fulani hivi.Huyo amekuja kuharibu kwa makusudi elimu yetu
Prof. Ndalichako na Dr. Msendo waliisuka NECTA ikawa Afro Role Model, nchi nyingi zikaja kujifunza NECTA ambayo hao wawili waliijengea uwezo wa kitaalamu kwamba ingeweza hata kuhesabu kura za NEC na kupunguza hofu ya wizi wa kura kwenye chaguzi.Wewe ni mtoto mdogo hujui kinachoendelea
Unajua kwanini mwaka huu hawajatangaza shule bora kitaifa?
Huyo bwana athumani baada ya miaka miwili atakuwa ameharibu kwenye elimu
Kwa Tanzania sekta taasisi zilizobaki na uadilifu Baraza la mitihani na jeshi tu
Ila athumani kapelekwa kwenda kuharibu
Kabla ya Athumani kuwa Kaimu KM leo, enzi za awamu ya 5 tulisahau wizi na udanganyifu kwenye mitihani. Athumani alikuwepo ndani ya mfumo huo makini km mtumishi mwandamizi hivyo alijuwa mfumo ulivyoziba mianya ya wizi, iweje leo ana mamlaka makuu (hata km anakaimu) ashindwe kutumia mfumo ule ule uliotumika kuziba mianya ya udanganyifu? Akiri tu kuna sehemu amepwaya.Wamiliki wa shule binafsi mmeitana, madudu yalikuwepo, makatibu waliopita wakawa wanawachekea....kutwa mnatapa kufaulisha.
Hili jembe limekuja kuwanyoosha na kuweka uozo hadharani ndio mnatoka kumchafua.
Dk Athumani mitano tena, tunyooshee waiba mitihani.
Lini udanganyifu uliisha? Awamu ya tano ipi unayozungumzia? Sema viongozi hawakuwa huru kuibua madudu, tena udanganyifu ulifanyika Kwa kiwango cha kutisha Ili kupata sifa.Kabla ya Athumani kuwa Kaimu KM leo, enzi za awamu ya 5 tulisahau wizi na udanganyifu kwenye mitihani. Athumani alikuwepo ndani ya mfumo huo makini km mtumishi mwandamizi hivyo alijuwa mfumo ulivyoziba mianya ya wizi, iweje leo ana mamlaka makuu (hata km anakaimu) ashindwe kutumia mfumo ule ule uliotumika kuziba mianya ya udanganyifu? Akiri tu kuna sehemu amepwaya.
Au tunataka kujaza majengo ya madarasa tuliyoongeza kwa kuwapa wadanganyifu second chance?
Vyeti feki wamelipwa mafao manono (sijui na wengine wamerejeshwa!?) Wadanganyifu wa mitihani nao wanapewa fursa ya pili!? Madhali wadanganyifu wanajulikana kwanini wasipandishwe kortini ili iwe fundisho? Vinginevyo tufute mitihani ya shule tubakishe ile ya vyuo
Wamiliki wa shule binafsi hamumpendi Dk Athumani Kwa sababu Kaja kuwavurugia ugali, Siku hizi mitihani haivuji nje, mitihani inavujia ndani ya chumba cha mtihani....mnawalaghai wasimamizi na migambo wawaonyeshe mitihani mnasolve na kuwapa watoto majibu, au mnamlaghai msimamizi avuruge sitting plan Ili watoto wasaidiane.Prof. Ndalichako na Dr. Msendo waliisuka NECTA ikawa Afro Role Model, nchi nyingi zikaja kujifunza NECTA ambayo hao wawili waliijengea uwezo wa kitaalamu kwamba ingeweza hata kuhesabu kura za NEC na kupunguza hofu ya wizi wa kura kwenye chaguzi.
Athumani anaweza kuuambia umma kwanini asiwajibike maana anachukuwa hatua (ya wezi/wadanganyifu kurudia mitihani) baada ya wizi udanganyifu kufanyika badala ya kuchukuwa hatua kabla ya wizi/udanganyifu ili kuzuia tatizo kutokea.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kumbe sababu ni Dini yake? Hapo nimekuelewa, kuhusu uchapakazi Dk Athumani ni next level.Yuko kimkakati kuokoa dini fulani hivi.
Kuna point nyingi nzuri umezisema lkn pale uliposema juu ya mdanganyifu kupewa fursa ya pili kwakweli nimeshindwa kukushangaa!!! Hao ambao wewe hutaki wapewe fursa ya pili ya kurudia mitihani ni hawahawa watoto wa miaka 11-13+ Kweli kabisa watoto hao ulitaka waondelewe kwenye mfumo wa elimu eti kisa mitihani yao ilionesha kuwapo kwa udanganuifu? Is your head really well?Kabla ya Athumani kuwa Kaimu KM leo, enzi za awamu ya 5 tulisahau wizi na udanganyifu kwenye mitihani. Athumani alikuwepo ndani ya mfumo huo makini km mtumishi mwandamizi hivyo alijuwa mfumo ulivyoziba mianya ya wizi, iweje leo ana mamlaka makuu (hata km anakaimu) ashindwe kutumia mfumo ule ule uliotumika kuziba mianya ya udanganyifu? Akiri tu kuna sehemu amepwaya.
Au tunataka kujaza majengo ya madarasa tuliyoongeza kwa kuwapa wadanganyifu second chance?
Vyeti feki wamelipwa mafao manono (sijui na wengine wamerejeshwa!?) Wadanganyifu wa mitihani nao wanapewa fursa ya pili!? Madhali wadanganyifu wanajulikana kwanini wasipandishwe kortini ili iwe fundisho? Vinginevyo tufute mitihani ya shule tubakishe ile ya vyuo
Ni hivi mkuu.Wamiliki wa shule binafsi hamumpendi Dk Athumani Kwa sababu Kaja kuwavurugia ugali, Siku hizi mitihani haivuji nje, mitihani inavujia ndani ya chumba cha mtihani....mnawalaghai wasimamizi na migambo wawaonyeshe mitihani mnasolve na kuwapa watoto majibu, au mnamlaghai msimamizi avuruge sitting plan Ili watoto wasaidiane.
Alichowafanyia Athumani mwaka huu hamtamsahau, na huo ni mwanzo Tu[emoji1787]
Fundisheni watoto acheni kutegemea mbinu chafu kutafuta sifa.
Mkuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe sababu ni Dini yake? Hapo nimekuelewa, kuhusu uchapakazi Dk Athumani ni next level.
Tumechoka udanganyifu, darasa zima linapata A za mchongo kumbe mmeiba mtihani, kujishaua mtihani shule ya kwanza kimkoa, kumbe mnawalaghai walimu masikini Kwa vijisenti Ili waoneshe watoto majibu.
Acha aendelee kuwapa dozi.
Wakipewa 2nd chance watadanganya tena O level na kupewa 3rd chance ya QT. A level pia watadanganya na kupewa 4th chance ya QT piaKuna point nyingi nzuri umezisema lkn pale uliposema juu ya mdanganyifu kupewa fursa ya pili kwakweli nimeshindwa kukushangaa!!! Hao ambao wewe hutaki wapewe fursa ya pili ya kurudia mitihani ni hawahawa watoto wa miaka 11-13+ Kweli kabisa watoto hao ulitaka waondelewe kwenye mfumo wa elimu eti kisa mitihani yao ilionesha kuwapo kwa udanganuifu? Is your head really well?
Usidanganywe na umri. Sheria za uhalifu (ukiwemo udanganyifu) hazinaga umri. Ndiyo maana nchi ina juvenile prisons (magereza ya watoto) na huko wamejazana tele tena wengine kwa kesi za mauaji kabisaaa, mbona hujaiambia serikali iwaweke huru? Mbona hujaiambia Parole iwaingize kwenye orodha ya misamaha ya rais ya wafungwa? Is your head really human?Kuna point nyingi nzuri umezisema lkn pale uliposema juu ya mdanganyifu kupewa fursa ya pili kwakweli nimeshindwa kukushangaa!!! Hao ambao wewe hutaki wapewe fursa ya pili ya kurudia mitihani ni hawahawa watoto wa miaka 11-13+ Kweli kabisa watoto hao ulitaka waondelewe kwenye mfumo wa elimu eti kisa mitihani yao ilionesha kuwapo kwa udanganuifu? Is your head really well?