NECTA kuwasaka wenye vyeti bandia

NECTA kuwasaka wenye vyeti bandia

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,485
vyeti.jpg

Baraza la Mitahani Tanzania (NECTA) limesema litaanza kuwasaka waajiriwa wote wanaotumia vyeti bandia katika ajira zao.

Baraza hilo limesema kuwa nchi kwa sasa inakabiliwa na tatizo la kuzagaa kwa vyeti bandia, hivyo limewataka waajiri nchini kote kushirikiana na baraza hilo kutaka kupeleka vyeti vya waajiriwa kwa ajili ya kukaguliwa.

Mkuu wa Idara ya Utawala na Fedha NECTA Bw. Daniel Matie ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwa lengo la kuelezea mafanikio na changamoto zinazolikabili baraza hilo.

Bw. Matie amesema ili kufanikisha kupungua kwa tatizo la vyeti bandia nchini waajiri wanayo nafasi kubwa ya kushirikiana na NECTA katika ukaguzi wa vyeti ili kuchukua hatua za haraka kwa wale watakaobainika wanafanya kazi kwa njia ya kughushi vyeti.

Chanzo:IPP Media
 
Hili zoezi likifanyika nchi itatetemeka
 
Ngoja niwasaidie kuwaelekeza watu wanaohusika na vyeti vya bandia waanzie hapa,

1. Polisi
2. Magereza
3. JWTZ
4. Uhamiaji.

Maeneo hayo yametapakaa matumizi ya vyeti bandia na wengi wamepata kazi hiyo kwa vimemo vya wakubwa.

WAANZIE HUKO KWANZA.WAJE WATOE MREJESHO KAMA HAWAJAKUTA NUSU YA MAAFISA NI VYETI BANDIA WANAVITUMIA.WENGINE WANATUMIA VYETI VYA NDG ZAO NA HILO NALO WAFUATILIE.
 
Yani hii serekali zaifu sana! Si watengeneze system ya komputa na kuonesha kama kweli mtu huyu kamaliza form 4 au six bila kusumbua waajiri kupeleka vyeti kimoja kimoja!

Kuna software developer wakipewe kazi hiyo wanafanya faster! Waweke system tu na vyuo pia waweke system hapo ndio itakuwa noma.
 
Ngoja niwasaidie kuwaelekeza watu wanaohusika na vyeti vya bandia waanzie hapa,

1. Polisi
2. Magereza
3. JWTZ
4. Uhamiaji.

Maeneo hayo yametapakaa matumizi ya vyeti bandia na wengi wamepata kazi hiyo kwa vimemo vya wakubwa.

WAANZIE HUKO KWANZA.WAJE WATOE MREJESHO KAMA HAWAJAKUTA NUSU YA MAAFISA NI VYETI BANDIA WANAVITUMIA.WENGINE WANATUMIA VYETI VYA NDG ZAO NA HILO NALO WAFUATILIE.
kweli waanzie hapo....
 
walivyo mbumbumbu utaskia walimu 60 wameshikwa,anzeni huku kama kwel nyie wanaume tunajua 3/4 ya hizo idara vyet bandia
 
Jamani hapo panunu saaaaaana watu watakufa jamani wengine wanakuambia wana majina ya kuzaliwa na ya kusomea wapiiiiiiiii jamani
 
1. Una maana huyo aliyesimama pichani ndiye Daniel Mafie?
2. Hayo makaratasi aliyoshika huyo mtu aliyesimama ndiyo hivyo vyeti feki?
 
Vyeti bandia, majina bandia = VITAMBULISHO VYA TAIFA BANDIA = TAIFA LA WATU HOVYO
 
walivyo mbumbumbu utaskia walimu 60 wameshikwa,anzeni huku kama kwel nyie wanaume tunajua 3/4 ya hizo idara vyet bandia
Kijana acha kutoa maneno yakejeli kwa vitu usivyovielewa. katika Taasisi za Serikali zinazofanya kazi zake bila kuogopa mtu ni NECTA. Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo yanayotokea Nchini ungejua ni kwanini miaka miwili iliyopita lile zoezi la uhakiki sifa/vyeti vya watumishi wa serikali lililoanza kwa kishindo lilisimamishwa ghafla.

NECTA ilifanya kazi yake vizuri mno na kuna watu wazito walikutwa wakiwa hapo walipo bila kuwa na sifa, wewe ulitaka NECTA ifanye nini wakati NECTA kwa mujibu wa uanzishwaji wake ipo chini ya Wizara ya Elimu ambayo wote tunaifahamu ilivyo na wala sio chombo huru kama ilivyo kwa CAG.
 
Ngoja niwasaidie kuwaelekeza watu wanaohusika na vyeti vya bandia waanzie hapa,

1. Polisi
2. Magereza
3. JWTZ
4. Uhamiaji.

Maeneo hayo yametapakaa matumizi ya vyeti bandia na wengi wamepata kazi hiyo kwa vimemo vya wakubwa.

WAANZIE HUKO KWANZA.WAJE WATOE MREJESHO KAMA HAWAJAKUTA NUSU YA MAAFISA NI VYETI BANDIA WANAVITUMIA.WENGINE WANATUMIA VYETI VYA NDG ZAO NA HILO NALO WAFUATILIE.
NECTA inafanya kazi kwa kushirikiana na Waajiri, kama Waajiri wenyewe vyeti vyao haviko sawa unadhani wataruhusu NECTA kuhakiki kwenye Taasisi zao? Kila Taasisi ya Serikali ina mipaka yake ya ufanyaji kazi zake, NECTA haiwezi kuingia kwa nguvu kwenye Taasisi yoyote na kuhakiki bila kupewa ushiriakiano na wadau. Tuwape kwanza ushirikiano halafu wakishindwa ndipo tuje humu kulaumu.
 
waende na TRA watu wameajiriwa kiundugu sana na sanasana upande wa madereva.
 
ni kweli kabisa hakuna sehem yenye vyeti bandia kama hizo apo ila utasikia matokeo makubwa wamekuta kwa walim.
 
Wale askari wa jeshi la police walodaiwa wana vyeti fake kipindi kilee sijui walichukuliwa hatua gani
 
Kwani kuna ulazima wa msako wakati idara zinazofahamika kwa kufoji vyeti zinafahamika hata na mtoto aliyezaliwa leo......
 
Kijana acha kutoa maneno yakejeli kwa vitu usivyovielewa. katika Taasisi za Serikali zinazofanya kazi zake bila kuogopa mtu ni NECTA. Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo yanayotokea Nchini ungejua ni kwanini miaka miwili iliyopita lile zoezi la uhakiki sifa/vyeti vya watumishi wa serikali lililoanza kwa kishindo lilisimamishwa ghafla.

NECTA ilifanya kazi yake vizuri mno na kuna watu wazito walikutwa wakiwa hapo walipo bila kuwa na sifa, wewe ulitaka NECTA ifanye nini wakati NECTA kwa mujibu wa uanzishwaji wake ipo chini ya Wizara ya Elimu ambayo wote tunaifahamu ilivyo na wala sio chombo huru kama ilivyo kwa CAG.

we bado upo usingizin,unakumbuka 2006 ilivyokua?2011 unakumbuka?kuna idadi kubwa ya vyeti fek kwa izo idara acha kutetea?ukitaka details zaid naweza kukuwekea apa ujionee
 
mimi nimejiuliza, kwani siku zote zilizopita walikuwa hawana ukaguzi huu kwa waajiriwa ?.

pole tanzania.
 
we bado upo usingizin,unakumbuka 2006 ilivyokua?2011 unakumbuka?kuna idadi kubwa ya vyeti fek kwa izo idara acha kutetea?ukitaka details zaid naweza kukuwekea apa ujionee
Kijana acha kukurupuka, usidhani wote waliopo humu ni mambumbumbu kama wewe. NECTA inahusikaje katika huo utafiti wako unaosema ulifanya? Hebu kwanza jiulize wewe na Idara/Taasisi yako umeajiri watu waliotumia vyeti feki bila kulishirikisha Baraza la Mitihani ili lije kwanza kuhakiki vyeti hivyo halafu mwisho wa siku unakuja kulilaumu Baraza la Mitihani. Yaani ni sawa sawa na mwenye Lori anaajiri dereva wakati dereva huyo amempa leseni feki, badala ya kuichukua leseni hiyo na kuiwasilisha mamlaka husika kwa ajili ya uhakiki yeye anaona kapata dereva. Mwisho wa siku DEREVA kapata ajali ya kizembe inabainika alikuwa sio dereva makini unaanza kulaumu Polisi wa Barabarani/TRA. What a shame!

Kwani hujui hata Posta kuna watu wanatengeneza vyeti feki kwa watu wenye akili kama zako, hapo utalilaumu Baraza la Mitihani? Mjilaumu nyinyi wapenda vya bure mtakao shortcut hamtaki kusoma na kupata vyeti halali, mwisho wa siku yanawakuta ya kuwakuta mnaanza kutoa lawama kwa NECTA. Ingekuwa Kampuni zote au Taasisi/Idara zinafanya kazi kama TFF mambo ya vyeti feki yasingekuwepo. TFF huwezikupata ajira mpaka wapeleke vyeti NECTA, kama huamini muulize Michael Wambura wakati anagombea TFF nini kilimkwamisha achilia mbali zile kesi za mahakamani.

Hako kautafiti kako wakati unakaleta hapa utuambie pia utuambie NECTA imehusikaje katika uwepo wa hivyo vyeti feki.
 
Na Katika Idara Nilizozitaja Hapo Juu, Wakitaka Kufanya Vizuri Ukaguzi Uanzie Kwa WAKUU WA KILA IDARA,WASAIDIZI WAO,VIONGOZI WENGINE NDO WASHUKE HADI KWA MAKOPLO.Iwapo Wataanzia Chini Kwenda Juu Watakwamishwa Na Mkuu Wa Idara Ambae Anavyeti Bandia Kwani Ataweka Vikwazo Zoezi Hili Lisifanyike Kwenye Kitengo Chake.Sasa Hapa Dawa Ni Kuanza Na Mkubwa Ili Kumbaini Kama Yeye Mwenyewe Ni Msafi? Ili Kama Siyo Msafi Alipotiwe Kisha Ang'olewe Cheo Chake Maana Huwezi Kufanya Kazi Na Mhalifu Kwani Atatetea Wahalifu Wenzake.
 
Back
Top Bottom