NEC yatupa kando malalamiko ya UKAWA

NEC yatupa kando malalamiko ya UKAWA

Anaweza akasema chochote asubiri uchaguzi uishe atangaze tofauti na matokeo halali aijue nguvu ya umma. Mwenzie wa Kenya aliesema hata hajui nani alieshinda hadi leo bado anakimbia.Sasa wanapelekwa mahakamani kwa kutumia nembo ya M4C iliyosajiliwa kisheria na chadema akawaambie majudge waitupilie mbali na hiyo.

Samuel Kivuitu waala hakukimbia sana...jamaa umauti ulimkuta
 
Hebu ukawa kwenye majukwaa elezeni pia kuwa nanyi hamtakubali hata kwa panga mtaingia ikulu, tuone kama NEC haitajibu
 
Hebu ukawa kwenye majukwaa elezeni pia kuwa nanyi hamtakubali hata kwa panga mtaingia ikulu, tuone kama NEC haitajibu

We Waache wabwabwaje tu watachoka wenyewe, sisi hatutaki kufuata akili zao za kipumbavu, tunataka wao waige tunachokifanya.
 
Una uhakika ngani ukawa watashinda??? Subiri kura zipigwe kwanza yeyote anaweza kushinda. Kwa nini unaanza kujiandaa kukataa matokeo???

Mkuu hakuna mahali niliposema kuwa Upinzani watashinda. Ninachosema ni serikali iliyopo madarakani ndiyo yenye uwezo wa kulinda au kuharibu amani iliyopo. Kama CCM watashinda well and good ............... lakini hili la kutishana kuwa wapinzani wakishinda hatutakuwa na amani ni upungufu wa akili. Mbona Nigeria, Ghana, Kenya na Zambia ambako wapinzani wameshinda bado kuna amani!!? Why us!!? Jeshi la Wananchi ni lilelile, Jeshi la Plisi ni lilelile, Usalama wa Taifa ni uleule, Magereza, JKT you name it ............ will be the same people. Sasa kwa nini amani ipotee!!?

Tatizo langu ni Magufuli kutufananisha na Libya ya Sadam ......................!!!
 
hahaaa magufuli bhana.
 
Samuel Kivuitu waala hakukimbia sana...jamaa umauti ulimkuta

Ndio maana nikasema ukitaka kuishi vizuri na maisha marefu yasiyo na tension sio kukubali kila teuzi. Huyu mzee ile hofu iliyomfanya atangaze mshindi tofauti na ukweli ilimrahisishia kifo chake. Pengine angeweza kuwepo hadi leo. Angalia anayoyahubiri mzee Warioba ili kumnadi mgombea wa ccm. Huwezi kuamini ni huyu huyu aliejeruhiwa kiasi kile na katiba ya wananchi bunge la katiba hadi kufikia hatua ya kupigwa makofi na makada kinda kabisa la ccm bila kujali hata heshima yake ya u-waziri mkuu mstaafu.Hayo hayo tunayaona hata kwa mjumbe wake Pole Pole. Nasema hata kama ni njaa acha iwe njaa lakini teuzi nyingine ni za kujidhalilisha.
 
Back
Top Bottom