masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Una matatizo ya akili, wewe ulitaka iwe ni idara ya wapi?NEC haiko huru ni idara ya serikali.
Una matatizo ya akili, wewe ulitaka iwe ni idara ya wapi?NEC haiko huru ni idara ya serikali.
Hivi wanaoingia msituni na wale wanaokataa matokeo ya masanduku ya kura kama vile alivyofanya Laurent Gbagbo kule Ivory Coast mwaka 2010 kuna tofauti gani na watu wa design hizo 2?Huu uchaguzi ni wa kuingia Ikulu sio msituni! Ukisema utaingia msituni wewe ni gaidi unatakiwa kupigwa nondo mchana kweupe!!!
kwa hiyo hata mtu akisema nitaingia msituni nisipotangazwa mshindi ni poa tu kwa lubuva!!!!
hii katiba ya ovyo sana,halafu kile kibabu kilichopigwa na makonda kipo bize kumpigia kampeni mwanae....
NEC haiko huru ni idara ya serikali.
kwa njia ipi?maana kauli ya bulembo anamaanisha hata kwa kutumia jeshi wataingia ikulu tu!!!!
kwa hiyo hata mtu akisema nitaingia msituni nisipotangazwa mshindi ni poa tu kwa lubuva!!!!
hii katiba ya ovyo sana,halafu kile kibabu kilichopigwa na makonda kipo bize kumpigia kampeni mwanae....
Wanasheria wa Ukawa, weka vizr kumbukumbu za hizo kauli znazotolewa na viongoz wa ccm, iwapo itatokea mizingwe ikasababisha machafuko kuna watu watapelekwa icc kwa kuanzia na viongoz wa tume ya uchaguz
Wakamuulize Bagbo aliwahi kufanya mchezo huo???!!! Mshindani wake aliwahi kuwa waziri wake mkuu. The same as E L
Huwezi kumsikiliza ZERO NEC wapo sawa
Ndo maana tulipiga kelele sana kutaka tume huru ya uchaguzi .
Kauli kama hiyo Bulembo ingekuwa imetolewa na kiongozi wa upinzani basi ingesikia onyo kutoka NEC lakini kwa ccm ni sawa.
HAKUNA CHENYE MWANZO KISICHOKUWA NA MWISHO .
Malalamiko ya Umoja Wa Katiba Ya Wananchi [ukawa] juu ya kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa Ccm Bw. Abdallah Bulembo, kuwa chama chake hakitakuwa tayari kuiachia ikulu kwa namna yoyote ile,
Mwenyekiti Wa Ukawa Freeman Mbowe na mwanasheria mkuu Tundu Lissu waliiomba NEC kulaani kauli hiyo, lakini Mwenyekiti wa NEC Jaji mstaafu Damian Lubuva ameyatupa kando malalamiko hayo na kudai kuwa hiyo ni kauli ya kisiasa ya kutafuta ushindi na inaweza kutumika na upande wowote.