NEC yatupa kando malalamiko ya UKAWA

NEC yatupa kando malalamiko ya UKAWA

Humu jf kweli kuna akili ndogo nyingi sana, najiuliza kweli kuna GT wa ukweli humu? Hapana haiwezekani watu msione tatizo la kauri ya bulembo kiongozi wa chama tawala chenye dola na kila kitu kiseme hatuwezi kuwaruhusu upinzani kwenda ikulu, wakati kauri kama hizi yanapotokea machafuko ndo hutumika kama ushahidi kule ICC

we waache waneng'eneke tu, hawajui kitakachoendelea likitokea tatizo.
 
na watanzania tupo tayari kwa lolote.

Acha kuwasemea watz kwa mambo ya kuhari amani yetu kama umeshindwa hoja nenda Somalia au Uarabuni ukamalizie hasira zako huko tuachie TZ yetu!
 
Magufuli asilaumu watu na kutulinganisha na Libya ya Saddam ................. CCM ndiyo wenye uwezo wa kuleta machafuko au kuimarisha amani iliyopo kwa kukabidhi madaraka kama watashindwa.

Kwa mchezo huu wa NEC sitashangaa kauri kama hizi za Bulembo zikiongezeka kila siku kadri dalili zitakavyozidi kuwa wazi kuhusu mshindi!! Mark my words!!

Una uhakika ngani ukawa watashinda??? Subiri kura zipigwe kwanza yeyote anaweza kushinda. Kwa nini unaanza kujiandaa kukataa matokeo???
 
Endeleeni kusomba watu kwa malori na kufanya fiesta ili kujifariji eti nyomi.
 
Kama upo Dar nenda brella utakuta imesajiliwa lini na kwa matumizi ya chama kipi cha siasa. Hata ukigoogle mbona unaikuta tu. Hii yaenu mmeisajili Chato au wapi?

Acha uongo M4C imesajiriwa kama nini brand au? Mambo usiyojua Kama usiku wa Giza!
 
Humu jf kweli kuna akili ndogo nyingi sana, najiuliza kweli kuna GT wa ukweli humu? Hapana haiwezekani watu msione tatizo la kauri ya bulembo kiongozi wa chama tawala chenye dola na kila kitu kiseme hatuwezi kuwaruhusu upinzani kwenda ikulu, wakati kauri kama hizi yanapotokea machafuko ndo hutumika kama ushahidi kule ICC

Hiyo statement haina madhara kisheria wala kisiasa unless kama unaongea kilayman!!
 
Wapinzani nao wakisema tutaingia msituni CCM wasipoachia Ikulu? Lubuva atasema ni lugha ya kutumika na yeyote!

Kama wataenda porini kwa kibali bila kuua wanyama wetu kuna shida gani. Shida kama watauwa wanyama wetu au kujiandaa kuharibu amani yetu hapo ndo shida itakaanzia!!
 
Acha kuwasemea watz kwa mambo ya kuhari amani yetu kama umeshindwa hoja nenda Somalia au Uarabuni ukamalizie hasira zako huko tuachie TZ yetu!

na ndugu yenu anaposema haachii ikulu kwa namna yoyote aende kumalizia hasira wapi burundi au libya?
 
na ndugu yenu anaposema haachii ikulu kwa namna yoyote aende kumalizia hasira wapi burundi au libya?

Hakuna kosa kwenye statement ya Bulembo kama unaitafasiri positively ila Kama unaitafisiri kinyume chake ndo utaona inamatatizo ndo maana NEC hata mimi sioni tatizo kwenye statement hiyo!!
 
Hakuna kosa kwenye statement ya Bulembo kama unaitafasiri positively ila Kama unaitafisiri kinyume chake ndo utaona inamatatizo ndo maana NEC hata mimi sioni tatizo kwenye statement hiyo!!

sishangai, we si walewale tu.
 
Acha kuwasemea watz kwa mambo ya kuhari amani yetu kama umeshindwa hoja nenda Somalia au Uarabuni ukamalizie hasira zako huko tuachie TZ yetu!

Tz yenu kwa kudhulumu wengine halafu utegemee AMANI. YA WAPI???!!!
 
Back
Top Bottom