The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,644
- 18,286
Magufuli asilaumu watu na kutulinganisha na Libya ya Saddam ................. CCM ndiyo wenye uwezo wa kuleta machafuko au kuimarisha amani iliyopo kwa kukabidhi madaraka kama watashindwa.
Kwa mchezo huu wa NEC sitashangaa kauri kama hizi za Bulembo zikiongezeka kila siku kadri dalili zitakavyozidi kuwa wazi kuhusu mshindi!! Mark my words!!
imesajiliwa wapi lini? kwanza magufuli for change sio movement for change..tulieni wacheni kiwewe. hapa kazi tu.Anaweza akasema chochote asubiri uchaguzi uishe atangaze tofauti na matokeo halali aijue nguvu ya umma. Mwenzie wa Kenya aliesema hata hajui nani alieshinda hadi leo bado anakimbia.Sasa wanapelekwa mahakamani kwa kutumia nembo ya M4C iliyosajiliwa kisheria na chadema akawaambie majudge waitupilie mbali na hiyo.
Jaribu uone chamoto
mungu yu upande wetu.
imesajiliwa wapi lini? kwanza magufuli for change sio movement for change..tulieni wacheni kiwewe. hapa kazi tu.
NEC haiko huru ni idara ya serikali.
ok sisi tunasema m4c yetu sio ys cdm. maana tofauti na rangi tofauti.Kama upo Dar nenda brella utakuta imesajiliwa lini na kwa matumizi ya chama kipi cha siasa. Hata ukigoogle mbona unaikuta tu. Hii yaenu mmeisajili Chato au wapi?
Jaribu uone chamoto
Sisi pamoja na Magufuli wetu na ubariikiwe Amina!young sharo said:mungu yu upande wetu
Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!