youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Malalamiko ya Umoja Wa Katiba Ya Wananchi [ukawa] juu ya kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa Ccm Bw. Abdallah Bulembo, kuwa chama chake hakitakuwa tayari kuiachia ikulu kwa namna yoyote ile,
Mwenyekiti Wa Ukawa Freeman Mbowe na mwanasheria mkuu Tundu Lissu waliiomba NEC kulaani kauli hiyo, lakini Mwenyekiti wa NEC Jaji mstaafu Damian Lubuva ameyatupa kando malalamiko hayo na kudai kuwa hiyo ni kauli ya kisiasa ya kutafuta ushindi na inaweza kutumika na upande wowote.