NEC yapinga waraka wa Jaji Bomani


Hapo unataka kusemaje kaka?

Yaani kweli Tanzania tunaongezeka kwa kasi gani hiyo ya kuhitaji kuongezewa majimbo?

Ungekuwa unatetea kuongezwa kwa wilaya na mikoa ningekuelewa kwani hizi ni serikali/ tawala za ngazi ya chini.
 

kaka hapa sikubaliani na wewe
Kuna issue kubwa. PRIORITY inabidi iwe kupunguza ratio kubwa ya idadi ya wagonjwa aktari , na si kupunguza ratio wa wakazi:mbunge


Sasa sijui hapo utasema nini
 
Mfano mzuri tulionao ni Dar es salaam. Wameongeza Mikoa ya kipolisi lakini uhalifu uko palepale kwenye baadhi ya maeneo umeongezeka, wameongeza majimbo ya uchaguzi lakini mabadiliko majimboni hakuna, na haioneshi kama watu wanawakilishwa vizuri kuliko kulivyokuwa na wabunge watatu. Hata tukiongeza idadi ya wizara haina maana kuwa kutakuwa na utendaji mzuri wa serikali. JK alijaribu kuanzisha wizara ya usalama wa raia lakini imefika wapi, ujambazi ndio uliongeza zaidi.
Hii ni cheap politics tu. Tanzania hata wabunge 50 wanatosha sana, kama wabunge hao 50 wakifanya kazi zao inavyotakiwa kutakuwa na representation nzuri sana kuliko sasa.
CCM ina mila ya kukataa mapendekezo ya tume, si mara ya kwanza ya pi8li wala ya tatu. Tume ya Nyalali, tume ya Warioba na Tume ya Bomani, na sasa tusibiri ya Mwinyi, pia mapendekezo yake yatakataliwa.
 
Hili neno "waraka" limekua fashion kama "ufisadi".

Blame it on the media. I am quite sure Mr Bomani didn't use that word in his document.

But you are right. It is among the top 5 catch phrases in the political circles in Tanzania at the moment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…