NEC yamteua Anna Kajigili (CHADEMA) kuwa Diwani wa Wanawake Viti Maalumu Ubungo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (National Electoral Commission-NEC) imemteua Anna Alinanine Kajigili (CHADEMA) kuwa Diwani wa Wanawake wa Viti Maalum katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

Uteuzi huo ni baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa aliyezingatia masharti ya kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa

Kajigili anajaza nafasi hiyo iliyokuwa wazi baada ya aliyeteuliwa awali kujiuzulu uanachama wa CHADEMA

22628B6E-A15E-40C2-B9A9-1787E81DE007.jpeg
 
View attachment 1188901
Inasikitisha sana kwa Tume ya Uchaguzi kuchelewa kujaza nafasi hii
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (National Electoral Commission-NEC) imemteua Anna Alinanine Kajigili (CHADEMA) kuwa Diwani wa Wanawake wa Viti Maalum katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

Uteuzi huo ni baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa aliyezingatia masharti ya kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa

Kajigili anajaza nafasi hiyo iliyokuwa wazi baada ya aliyeteuliwa awali kujiuzulu uanachama wa CHADEMA

View attachment 1188901
Gwa kumyetu....Kyala akusajeghe
 
Back
Top Bottom