wa mchangani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,418
- 951
Hii nchi inaitaji maombi
You are probably right. Usiseme bombardier imekamatwaWa
Wanataka kusema kwenye kampeni wasiikosoe serikali/mkulu
Kila kitu ni safi sana awamu hii ya 5 Kwanza hakuna haja ya Bunge Viongozi tulio nao wameshushwa na Mungu wana akili sana 'Our Leaders are so Clean and Very Bright they went to Good Schools Than Any of us Who is out side the System'You are probably right. Usiseme bombardier imekamatwa
yameona pia nec haiwezi yasaidia yamehamia sumatra, eti haturuhusiwi kuongelea siasa tukiwa katika vyombo vya usafiri vya ummaYamezidiwa mpaka yanaomba msaada NEC. Maana kwenye mikutano yao ya kampeni hayana jipya zaidi ya kumshambula KOMANDO NYALANDU. wabongo sasa hivi wanajielewa. NYOMI kwenye kampeni za UKAWA. zimewatia HOFU maana mkulu na serikali take kachambuliwa kabaki mweupee.
Hahahaaaaaaaaa Sumatra kama kenge shubaamiti zao yaani hapa nimekaa na jirani tunasafiri tuongee sijui habari za Kakobe au za UKAWA na CCMyameona pia nec haiwezi yasaidia yamehamia sumatra, eti haturuhusiwi kuongelea siasa tukiwa katika vyombo vya usafiri vya umma
Ni pale unapozungumzia bombardier, Makinikia au Chato International Aiport jukwaani wakati wanakijiji hao hawajawahi hata kuiona Mark X ikipita kijijini kwako kusiko na barabaraSiasa ni ninini???
Kamuulize Kailima !
Naona referee anakataza chenga za maudhi.....