Yaani tunasubiri kwa hamu hiyo nguvu ya uma ya ukawa inayotegemea kupingana na serikali,hakuna mnaonyesha mmechoka na amani na utulivu,jeshi la polisi,FFU,jeshi la wananchi,kikosi maalumu magereza,JKT,kweli wakishindwa kuwadhibiti wavunjifu wa amani kama Syria,nitaamini nguvu ya umma ipo,ila naamini mpaka sasa raisi Assad bado yuko madarakani,wanaoumia ni hao hao nguvu ya umma,