Mungo Park
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 2,115
- 1,834
Sheria inayotumiawa ni Sheria ya Taifa ya Uchaguzi namba 1 ya mwaka 1985 na marekebisho yake mbalimbali (Elections Act No. 1 of 1985 with its various ammendments-Section 104,subsection 1&2).
Sheria hii iko kimya kuhusu watu kusimama mita 200 wakingojea au matokeo au 'kulinda' kura. Hivyo watu wanajaribu kuitafsiri kwa manufaa yao wenyewe kila mtu na wakati wake.
Kuhusu adhabu imeshaongezeka na ni siyo chini ya elfu hamsini wala haizidi laki moja.
Display of emblems in vicinity of place of voting prohibited
104.-(1) No person shall, within any buildings where; voting in an election is in progress or at any place within the radius or two hundred meters of any such building, wear or display any card, symbol, favour or other emblem indicating support for a particular candidate in the election
Hii Sheria inahusu marufuku ya kuonyesha picha au nembo zinazoashiria uungaji mkono wa mgombea fulani katika uchaguzi ndani ya eneo la umbali wa mita mia mbili( mita 200) na kituo ambacho upigaji kura unaendelea.(2) Any person acting in contravention of this section shall be guilty of an offence and shall be liable on conviction to a fine not exceeding two hundred shillings