eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Hivi ni sheria inayowataka watu kukaa mita 100 au ni tume ndio inawataka watu wakae mita 100 na kama ni sheria tume au police wanatoa wapi mamlaka ya kuwakataza watu walioamua kusimama kwa amani ili kuangalia kila kinachotokea hatua yoyote ya kuwaondoa watu waliosimama mita mia moja kwa amani kinyume na sheria inavyotaka ni kuipoteza amani yetu na hili tume na police ICC itawahusu baada ya uchaguzi hatuko tayari kwenda kinyume na sheria ya uchaguzi kama mnavyotaka nec na police
vyama vyote vilisaini mbele ya tume ukipiga kura hustahili kukaa mita mia miatano ni kuondoka eneo husika kwani vyama vyote vina mawakala kwenye vituo vya kupiga kura
Hapo penye mita 100 utakaposimama na kukusanyika ni kiwanja au eneo la baba yako au mama yako? kama
Ni eneo la watu ambalo wewe si mmiliki wala halimilikiwi na chama chako Kwenda kukaa eneo la mtu ni uvunjaji wa sheria.Polisi kuzuia mikusanyiko lengo ni kuzuia viashiria vyote vya uvunjaji sheria ikiwemo kwenda kujikusanya eneo la mtu bila ridhaa yake.
Ole wako mita mia hiyo uje kukusanyika eneo langu patachimbika.Nitawapiga nondo za vichwani liwalo na liwe vibaka wakubwa nyie.
Wewe ulinde kura hao mawakala wenu wa vyama walioko ndani ya chumba cha kupiga kura wanafanya kazi gani? Kama hamuwaamini shauri yenu.Lakini kukusanyika mita mia natoa onyo mapema.Msije kusanyika kwenye eneo langu.Na watu kibao wameshapeleka onyo kwa tume na polisi kuwa wahakikishe hao watu hawakusanyiki maeneo yao.
Nakuonya hizo mita 100 zaweza sababisha ukavunjwa miguu na polisi kama wenye eneo wataamua kuwapigia polisi waje wawaondoe eneo lao.Ukikusanyika eneo ukaona polisi wanakuja na mabomu ujue wenye maeneo yao wamewaambia polisi kuwa eneo lao limevamiwa na watu kinyume cha sheria.
vyama vyote vilisaini mbele ya tume ukipiga kura hustahili kukaa mita mia miatano ni kuondoka eneo husika kwani vyama vyote vina mawakala kwenye vituo vya kupiga kura
Nyumba yenyewe ya kupanga eneo utalitoa wapi? Hatoki mtu, tunafuata sheria ya Uchagui ukipiga kura unaruhusiwa kukaa mita 100.NEC haohao walisema matokeo yatabandikwa baada ya kura kuhesabiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni mwa wapiga kura nani atayaona ikiwa watu wataamuliwa kurudi nyumbani? Mawakala wapo ndiyo lakini lengo la kubandika nini? Maana mawakala tayari wanamatokeo tayari.Hapo penye mita 100 utakaposimama na kukusanyika ni kiwanja au eneo la baba yako au mama yako? kama
Ni eneo la watu ambalo wewe si mmiliki wala halimilikiwi na chama chako Kwenda kukaa eneo la mtu ni uvunjaji wa sheria.Polisi kuzuia mikusanyiko lengo ni kuzuia viashiria vyote vya uvunjaji sheria ikiwemo kwenda kujikusanya eneo la mtu bila ridhaa yake.
Ole wako mita mia hiyo uje kukusanyika eneo langu patachimbika.Nitawapiga nondo za vichwani liwalo na liwe vibaka wakubwa nyie.
Wewe ulinde kura hao mawakala wenu wa vyama walioko ndani ya chumba cha kupiga kura wanafanya kazi gani? Kama hamuwaamini shauri yenu.Lakini kukusanyika mita mia natoa onyo mapema.Msije kusanyika kwenye eneo langu.Na watu kibao wameshapeleka onyo kwa tume na polisi kuwa wahakikishe hao watu hawakusanyiki maeneo yao.
Nakuonya hizo mita 100 zaweza sababisha ukavunjwa miguu na polisi kama wenye eneo wataamua kuwapigia polisi waje wawaondoe eneo lao.Ukikusanyika eneo ukaona polisi wanakuja na mabomu ujue wenye maeneo yao wamewaambia polisi kuwa eneo lao limevamiwa na watu kinyume cha sheria.
Nyumba yenyewe ya kupanga eneo utalitoa wapi? Hatoki mtu, tunafuata sheria ya Uchagui ukipiga kura unaruhusiwa kukaa mita 100.NEC haohao walisema matokeo yatabandikwa baada ya kura kuhesabiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni mwa wapiga kura nani atayaona ikiwa watu wataamuliwa kurudi nyumbani? Mawakala wapo ndiyo lakini lengo la kubandika nini? Maana mawakala tayari wanamatokeo tayari.
Huu nao ni ujinga ukae mita 100 sasa useme nalinda? Wana siasa hapo wanataka kutushindisha kwenye jua na sisi hapo na sisi tuwambie waje tushinde nao ndoo tutaamini tuko nao Kulinda.sio wajifiche