Naomba mwenye hukumu aliyowahi kutoa huyu judge atuwekee hapa!aji Semistocles Kaijage
Kwani Kuna wagombea vichaa?Tume makini ingesema kuwa wagombea wanaweza kupata ushauri kutoka kwa Tume kuhusu ukamilifu wa fomu zao. Ili kulinda demokrasia, ni wajibu wa Tume wagombea wengi iwezekanavyo wanapata fursa ya kugombea. Ningetegemea msimamizi anapo pokea fomu aipitie pamoja na mgombea na kumpa nafasi ya kusahihisha dosari zozote zinazoonekana kabla ya dirisha kufungwa.
Lugha za tusilaumiane hazipendenezi.
Amandla....
Hadi kujaza fomu mpaka msaidiwe na Tume? Duh hii Kali, ukikosea tume haina lawama na hufai kabisa kuwa mgombea!Tume makini ingesema kuwa wagombea wanaweza kupata ushauri kutoka kwa Tume kuhusu ukamilifu wa fomu zao. Ili kulinda demokrasia, ni wajibu wa Tume wagombea wengi iwezekanavyo wanapata fursa ya kugombea. Ningetegemea msimamizi anapo pokea fomu aipitie pamoja na mgombea na kumpa nafasi ya kusahihisha dosari zozote zinazoonekana kabla ya dirisha kufungwa.
Lugha za tusilaumiane hazipendenezi.
Amandla....
Yaani uingie kwenye chumba cha mtihani halafu utake msimizi wa mitihani akusomee na kutafasiri mahitaji ya swali.Wewe hutakiwi hata kujipigia kura mwenyewe, unastahiri kupata ZEROTume makini ingesema kuwa wagombea wanaweza kupata ushauri kutoka kwa Tume kuhusu ukamilifu wa fomu zao. Ili kulinda demokrasia, ni wajibu wa Tume wagombea wengi iwezekanavyo wanapata fursa ya kugombea. Ningetegemea msimamizi anapo pokea fomu aipitie pamoja na mgombea na kumpa nafasi ya kusahihisha dosari zozote zinazoonekana kabla ya dirisha kufungwa.
Lugha za tusilaumiane hazipendenezi.
Amandla....
Wagombea mkumbuke kurekodi video ya jinsi mlivyojaza fomu zenu isaidie kutobadilishwa au kurekebishwa kwa nia ovu na wasimamizi ili ipigwe pingamizi, na pia mrekodi video ya kukabidhi fomu wakati wa kurudisha kwa msimamizi wa uchaguzi.
Kumbukeni ushahidi wa video ya kukabidhi fomu ulivyomsaidia mgombea wa CHADEMA Jimbo la Ludewa mwaka 2015 marehemu Deo Filikunjombe alivyotaka kucheza rafu ya kupita bila kupingwa.
Naam! Ni sahivi kutoa copy, au ku-scan fomu iliyojazwa kabla ya kuirudisha ili kubaki na nakala ngumu/ na laini kwa ajili ya kuja kuwaumbua mawakala wa shetani waliohujumu wagombea wa upinzani mwaka 2019 katika uchaguzi wa serikali za mitaa.Wagombea mkumbuke kurekodi video ya jinsi mlivyojaza fomu zenu isaidie kutobadilishwa au kurekebishwa kwa nia ovu na wasimamizi ili ipigwe pingamizi, na pia mrekodi video ya kukabidhi fomu wakati wa kurudisha kwa msimamizi wa uchaguzi.
Kumbukeni ushahidi wa video ya kukabidhi fomu ulivyomsaidia mgombea wa CHADEMA Jimbo la Ludewa mwaka 2015 marehemu Deo Filikunjombe alivyotaka kucheza rafu ya kupita bila kupingwa.
Hiyo lugha tu ni kiashiria cha mtu mbabaishajiTume makini ingesema kuwa wagombea wanaweza kupata ushauri kutoka kwa Tume kuhusu ukamilifu wa fomu zao. Ili kulinda demokrasia, ni wajibu wa Tume wagombea wengi iwezekanavyo wanapata fursa ya kugombea. Ningetegemea msimamizi anapo pokea fomu aipitie pamoja na mgombea na kumpa nafasi ya kusahihisha dosari zozote zinazoonekana kabla ya dirisha kufungwa.
Lugha za tusilaumiane hazipendenezi.
Amandla....
Aliyekuambia kujaza fomu ni kama kufanya mtihani nani? Kujaza fomu ni swala la kuelekezana tu na wala halitakiwi kuwa swala la kukomoana. Unapolilinganisha na mtihani unataka kutuaminisha kuwa kwenye kujaza fomu ndio uchaguzi wa wananchi. Acheni kuanza kutengeneza mazingira ya kuhujumu upinzani kabla hata ya kura kupigwa.Yaani uingie kwenye chumba cha mtihani halafu utake msimizi wa mitihani akusomee na kutafasiri mahitaji ya swali.Wewe hutakiwi hata kujipigia kura mwenyewe, unastahiri kupata ZERO