NEC wagoma kuwaapisha mawakala wa CHADEMA, hii ndio Tanzania

Mawakala CHADEMA wanyimwa viapo Kinondoni.

Leo ikiwa ndiyo siku ya kuwatambulisha na kuwaapisha mawakala kwa ajili ya Uchaguzi wa Marudio Jimbo la Kinondoni, Mawakala wa CHADEMA wamekataliwa kuapishwa. Awali tulibaini tatizo hilo Kata ya Hananasif ambapo Mtendaji wa Kata aitwae Richard Supu (0655998777), aligoma kuwaapisha mawakala hao akiwataka waache majina yao hadi atakapowaita siku tatu kabla ya siku ya kupiga kura. Jambo ambalo ni kinyume cha taratibu zinazosimamia uchaguzi. Yeye amesisitiza kuwa ndivyo inavyofanyika na hawezi kufanya tofauti.

Taarifa zaidi zimeonesha kuwa karibu watendaji wa kata wote katika jimbo hilo, wamefanya hivyo kwa mawakala wa CHADEMA. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayotolewa na wahusika kuhusu dalili hizo mbaya kabisa za kuzidi kuvuruga Uchaguzi huo. Hali hiyo ndiyo ambayo wasimamizi wa uchaguzi katika Kata ya Saranga (kati ya zile kata 43) walifanya.

Tayari chama kimewasiliana na NEC kuingilia kati suala hilo kwa haraka na kuwataka wasimamizi hao waache kutumika kufanya hila za kuharibu uchaguzi huo.
 
kwa NN msiende mahakamani kama ni haki yao Kuapa. VP Hao wa vyama vingine wameapishwa? kulialia Kwenye mitandao ya kijamii haukusaidii.
 
Huu usenge haukubariki kama Nikweli, ,, bora uho uchaguzi usifanyike ikibidi, chadema na wapinzani wengine msikubari uho ujinga ambao mwisho wake mawakala wenu wote watakosa sifa za kuwa wakala,, mtoe fundisho dawa yake kwa hao wajinga wachache
 
Hakuna kulalamika fanyeni fujo kama kutokufanyika uchaguzi ni bota kutofanyika kwanza wanaapishwa nn ,hizo ndizo siraha za ccm ziko ktk majaribio kwa ajiri ya 2020 mkiregea mmekwisha.
 
Chadema wanapenda sana kulalamika, utafikiri mke mwenza. Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wakala anaweza anatakiwa aapishwe kuanzia masaa 72 kabla ya uchaguzi, na aweza apishwa hadi masaa 24 kabla ya uchaguzi. Malalamiko yao hayana maana, waweke vifungu vya sheria vinavyosema waapishwe leo otherwise wasianze kutafuta sababu za kushindwa mapema. Wakaze buti bado wana wiki ya kupambana.
 
Umeandika nn wewe bitch
 
kwa NN msiende mahakamani kama ni haki yao Kuapa. VP Hao wa vyama vingine wameapishwa? kulialia Kwenye mitandao ya kijamii haukusaidii.

Kuna mahakama inafanya kazi jumamosi? kumbuka mahakama ya umma ina nguvu kuliko hiyo ya serekali.
 
Mawakala CHADEMA wanyimwa viapo Kinondoni.

Leo ikiwa ndiyo siku ya kuwatambulisha na kuwaapisha mawakala kwa ajili ya Uchaguzi wa Marudio Jimbo la Kinondoni, Mawakala wa CHADEMA wamekataliwa kuapishwa. Awali tulibaini tatizo hilo Kata ya Hananasif ambapo Mtendaji wa Kata aitwae Richard Supu (0655998777), aligoma kuwaapisha mawakala hao akiwataka waache majina yao hadi atakapowaita siku tatu kabla ya siku ya kupiga kura. Jambo ambalo ni kinyume cha taratibu zinazosimamia uchaguzi. Yeye amesisitiza kuwa ndivyo inavyofanyika na hawezi kufanya tofauti.

Taarifa zaidi zimeonesha kuwa karibu watendaji wa kata wote katika jimbo hilo, wamefanya hivyo kwa mawakala wa CHADEMA. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayotolewa na wahusika kuhusu dalili hizo mbaya kabisa za kuzidi kuvuruga Uchaguzi huo. Hali hiyo ndiyo ambayo wasimamizi wa uchaguzi katika Kata ya Saranga (kati ya zile kata 43) walifanya.

Tayari chama kimewasiliana na NEC kuingilia kati suala hilo kwa haraka na kuwataka wasimamizi hao waache kutumika kufanya hila za kuharibu uchaguzi huo.
Mpelekee da'Mange.
 
Nawewe acha ujinga,,kwani wanalilia au wanatoa taarifa? Bila kutoa taarifa we kilaza mmoja ungejuaje?? Na mitandao ya kijamii sasaivi ndio chanzo huru cha habari, usitegemee habari kama hizo utazisikia redio one au Clouds Tv
Wala usichukie mkuu huo ndo ukweli kwa ss hakuna sababu ya kulia lia kama mbwai na iwebwai kama wangekuwa wanakaa anga ingine hapo sawa lkn mko nao?sizani kama ni muda wa kukaa kimya sasa.
 
Kwanini hawakuapishwa Leo,,?tunataka sababu,,
 
Chadema wanapenda sana kulalamika, utafikiri mke mwenza. Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wakala anaweza anatakiwa aapishwe kuanzia masaa 72 kabla ya uchaguzi, na aweza apishwa hadi masaa 24 kabla ya uchaguzi. Malalamiko yao hayana maana, waweke vifungu vya sheria vinavyosema waapishwe leo otherwise wasianze kutafuta sababu za kushindwa mapema. Wakaze buti bado wana wiki ya kupambana.

Uliusoma waraka wa Mkurugenzi wa NEC,kama hukuusoma usikurupuke kijibu huu utumbo hapo juu
 
Kwanini hawakuapishwa Leo,,?tunataka sababu,,
Wapumbavu wale wasipokujibu utafanya nn?kikubwa pale ni kimyakimya ili wajifunze kitu nchi hii c yawana ccm tu bali ni yetu sote kwa hivyo mtu akikudharau basi tafuta namna ili ajue na ww c wa mchezo v wakati wakuuliza sasa.
 
Back
Top Bottom