johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,636
Ndio! Tume HURU ya Uchaguzi na Katiba MPYA..Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi
Jo unasemea Ile ya mafweza na enzi za Jecha au Ubora Wa IEBC Jo 🏃Kwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Tume ya Chebukati ni buure kabisa mkuu aheri hata ya tume yetu hii ya kuteuliwa na raisi aliye madarakaniKwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Bora tuupiganie ubepari kama faida zake ni dhahiri Kwa viwango hiviWenzetu KENYA wako mbali sana.
Ubepari laini wa Kiafrika ndo mpango mzima.Bora tuupiganie ubepari kama faida zake ni dhahiri Kwa viwango hivi
Kinachofanyika Kenya, Tanzania inabidi tuone aibu. Hawa akina Mahera sijui Magufuli aliwatoa wapi?Kwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Tabia ya viongozi Tanzania kunifunza mambo mazuri ya uongozi ambayo nchi nyingine zinafanya haijaenea sana. Tusubiri tuone kama hao viongozi watabadilika safari hii. Bila shaka mmeona Waziri wa Mambo ya Nje alivyomjibu mwandishi wa habari wa Ulaya Magharibi kuhusu msimamo wa Afrika kuhusu ugomvi wa kimataifa uliopo Ukraine. Zamani misimamo kama hiyo ndiyo ilikuwa ya Tanzania!Kwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Independent electrical and boundaries commission.Hi iebc kirefuchake nn ...
Anyongwe tena atokee huku ?Natafuta jina sahihi la kumuita Magu lakini silipati.
Huko aliko anyongwe hadi afe
Vichwa vya hivyo vina ..... Au basi wacha nilale
[emoji38][emoji38][emoji38]Vichwa vya hivyo vina ..... Au basi wacha nilale
Tume ya Kenya wako very committed mbarali saana na tume ya TanzaniaKwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote