naomba kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 253
- 213
Sijapata kazi kabisa ndugu, nimeangaika sana kutafuta mkuu ila sijawai kupataYani una Degree ya computer na huna kazi?? Inawezekanaje??? Au unamsanisha haujaajiriwa na taasisi yoyote
Daaaaah.. nimeumia mno mkuuHaaaa mkuu we chama gani? Maana Mambo yanayoendelea huko mzalendo hawezi kukubaliiiiii kufanya umafyia na ukatiliii.....huna kadi hupati nafasi,
Waliomba wengi Ni watu wasiounga juhudihivyo zoezi lazima lisimame
Pole Sana mkuu, ndo tulipofikia Sasa, ila Kuna watu wanapiga hela ndefu tu huko posho, mishahara lkn mtaani graduates tunapigika kuliko kokoto zinavyopigwaDaaaaah.. nimeumia mno mkuu
Mkuu, tumia knowledge yako kutengeneza pesa!Sijapata kazi kabisa ndugu, nimeangaika sana kutafuta mkuu ila sijawai kupata
Dah nimempigia anasema ameshapata mtu, asante sana mkuuMkuu, tumia knowledge yako kutengeneza pesa!
Kama unajua programming hata PHP, JavaScript, CSS na HTML, pia (angularjs, vue, react au ember) utengeneza apps mbalimbali na kuziuza.
Kuna taasisi nyingi sana zinataka real Programmers.View attachment 1119835
Ila tutambue kwamba ajira za computer si nyingi, ila ni moja ya fani unayoweza kutengeneza mpunga mrefu sana.Dah nimempigia anasema ameshapata mtu, asante sana mkuu
Ukiona unatafuta sana kazi hupati....jua pepo la kujiajiri linakuita....hebu lipe nafasiSijapata kazi kabisa ndugu, nimeangaika sana kutafuta mkuu ila sijawai kupata
Habarini wakuu
Juzi ijumaa ya tarehe 30 Mei Tume ya uchaguzi NEC walitangaza nafasi za kazi ZA muda mfupi
Na kipaumbele walikuweka kwa watu walio kwisha fanya kazi iyo (hapa sifa nilikuwa nayo)
Wakasonga mbele zaidi kwa kusema kama umesoma degree ya computer utapewa nafasi zaidi (hapa pia nilikuwa nina sifa)
Yaani nikuwa nina sifa zote ZA kuchukuliwa
Nimeshangaa sana leo kuona mseemaji wa tume kupitia gazeti la MWANANCHI LA LEO 06.06.2019 (MWANANCHI ONLINE) akisema kuwa
"Anaomba radhi kwa wale wote waliiiomba nafasi zile maana, wanasikitika kuwa hawataendelea tena na zoezi la kuchukua watu, badala yake wanasitisha na kufuta kabisa maombi ayo"
Nilitegemea ndio sehemu ambayo ningepatia mtaji wakutoka kwenye aya maisha magumu nilikuwa nayo
Sina ajira huu mwaka wa 3
MMENIUMIZA sana kwa tamko lenu
Ila sina namna
Mkuu unachoshangaa ni kipiYani una Degree ya computer na huna kazi?? Inawezekanaje??? Au unamsanisha haujaajiriwa na taasisi yoyote
Umebobea eneo gani? Una professional certification yoyote related to IT? or atleast indepth knowledge ya eneo fulani whether programming, database, network, servers virtualization n.k ? That could be what's holding you back...Sijapata kazi kabisa ndugu, nimeangaika sana kutafuta mkuu ila sijawai kupata
Mkuu unachoshangaa ni kipi
doctors,engineers, treasurers,walimu,nk
wanalia na ajira hasa kipindi hiki cha awamu ya 5.
muwezeshe ajiajiri au mpe mbinu ulizotumia wewe ili naye atoke kwenye sintofahamu hii; watu tunatoka familia tofauti tofauti, kama uliwezeshwa mtaji au ukipata kazi baada ya kumaliza tu masomo yako mshukuru mungu.
Lakini usishangae inawezekana kanaje
Nimemaliza degree ya computer science na nipo competente ile mbaya kwenye mambo ya technologia ila ndio ivyo
Mwakaa wa tatu huu sijawai pata ajira na uda nafanya sana application
Ulichoongea kina mashiko sana mkuuMkuu ninachoamini kwamba. Mtu akisoma fani yenye utaalamu na ufundi ana fursa kubwa sana ya kujiajiri. Kwa elimu yake anaweza kufanya udananda wote anaoujua yeye. Nadhani jamaa hajachangamka tuu. Kwa elimu yake anaweza kuwa hata Dalali wa electronics Gadgets sijui anakwama wapi. Au ndo kusbiri white colar jobs kama izo za Nec anazowania