WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Nchi ya kimafia.....
Nasubiri muda niji******* kama yule kijana wa Tunisia!
huyo HAMAD OMAR KOMBO wa CDM yuko wapi? kwa sababu kama NEC imetoa matokeo hivyo yeye na wasimamizi na viongozi wa huko Zanzibar walikuwa wapi/wako wapi? mimi nafikiri watu wa kuwalaumu si NEC bali ni viongozi wa CDM walioshindwa kusimamia kura ili kiongozi wao atangazwe.
aliyechakachua ni nani? CUF? CCM? kama ni NEC hawange publish hivyo I think.
Mbunge aliyepo ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. I think there is a problem somewhere kwani hata CCM hawangekubali
Sasa mbona hawakumtangaza mbunge wa CHADEMA kuwa mshindi?
Inabidi tuingie kwenye mfumo wa ki-elektroniki labda utapunguza uchakachuaji, kwani kukiwa na mfumo unapiga kura na matokeo yanatoka moja kwa moja pasipo kusubiri itakuwa vigumu kuchakachua japo kwa bongo usishangae kusikia imewezekana..
Nakubaliana na wewe ndugu yangu lakini ni bora kulinda kwanza hata hizo za madiwani na ubunge,kwani nazo zilichezewa sana licha ya kuwa na hao mawakala,nina rafiki yangu mmoja alisimamia kura za chadema wakati yeye ni ccm wa kufa mtu!!!,niliwataarifu chadema makao makuu wakasema hawawezi kubadili kitu kwani sheria inawabana kwa muda uliokuwa umebaki!!!
Na ukumbuke kuwa hili la NEC kutoruhusu matokeo ya urais kutangazwa kituoni hayapo kikatiba,kwa kubanwa na hoja na wafadhiri wanaweza kuanza kutangaza toka vituoni,pia endapo katiba mpya itakuwa tayari kabla ya uchaguzi (kitu ambacho naona si rahisi) suala la muundo wa tume uwe wazi katika kutangaza matokeo yake,mfano yanapotangazwa matokeo ya udiwani,matokeo ya urais na ubunge yabandikwe kwenye vituo kata mpaka jimbo.
Ni bora kujiandaa sasa kuliko baadaye ambapo suala hili linaweza kuleta matatizo ya kuibiwa kura tena,hawa jamaa ni hatari kwa wizi wa kura na mali ya nchi,hawana haya hata kidogo.
Kwa ukweli huu basi wale wahuni akina Ritz na FF wanaumia sana maana ukanda na udini wao chali kumbe Chadema ni kote kote hadi Pemba .Ushahidi huo hapo wa nec
Kwa ushahidi wako. Unaweza tueleza mbunge anayewakilisha jimbo hilo anatoka chama gani?
Ukipitia tovuti ya bunge ametajwa kuwa ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. Sasa vipi iweje wa Tatu awe mbunge? Na CCM walikuwa wapi kulalamika?
Acheni unafiki wapambe wa Hamad Rashid Nyie. Mtasema mengi mwaka huu. Lakin Hamad Rashid OUT.
Inachukua muda gani kurekebisha kosa kama hili? Kumbuka kuwa haya ni matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 2010, zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Ina maan kuwa yamehakikiwa na kuhakikishwa kuwa ni sahihiJamani NEC hawakuchakachua kitu! walikosea tu kuandika hayo majina ya vyama, sehemu ya Chadema inatakiwa iwe CCM na sehemu ya CCM inatakiwa iwe Chadema.
Mkuu huamini hayo yanaweza kutokea Tanzania? Watu wanaenda Central Bank na wanaiba hela mwenzetu unashangazwa na hili? Na hata baada ya kuiba hela uchunguzi unafanyika na walioiba wanajulikana halafu wanaambiwa na rais wazirudishe na wanasamehewa kinyume na katiba ya nchi!
Bado tu huamini kuwa hilo laweza kutokea hapa! Uko wapi wewe!
CCM wezi wa kila kitu
Ubaya uwizi wao hauna akili
Kuna siku ktk miaka hii hii ya 2010-20, hawa viongozi wa TISS, NEC na CCM watasimama Mahakamani kujibu mashitaka ya kuhujumu na kuvuruga uchaguzi wa 2010.
Ndiyo hivyo mkuu!!Mimi hapa nimeishiwa pozi [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]
HAMAD OMAR KOMBO
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
[/TD]5,633
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
[/TD]83.17
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]RASHID ABDALLA KHAMIS
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]CCM
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
[/TD]645
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
[/TD]9.52
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]RASHID ALI ABDALLAH
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]CUF
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
[/TD]97
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
[/TD]1.43
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]ABDALLA YUSSUF HASSAN
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]NCCR-MAGEUZI
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
[/TD]89
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
[/TD]1.31
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 5%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]SPOILT VOTES
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
[/TD]309
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
[/TD]4.56
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]TOTALS
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
[/TD]6,773
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
[/TD]100
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 5%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Inachukua muda gani kurekebisha kosa kama hili? Kumbuka kuwa haya ni matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 2010, zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Ina maan kuwa yamehakikiwa na kuhakikishwa kuwa ni sahihi
tangu matokeo ya uchaguzi mkuu 2010 yatangazwe, kiukweli nimekuwa sceptical all along na zile allegations kuwa eti matokeo yaliyachakachuliwa in favour of CCM.
nimesoma article moja kwenye raia mwema la leo inayoonyesha kuwa kwenye jimbo la Tumbe kule Pemba eti CDM walishinda kwa 83%, CCM 9% na CUF 1%. nimekwenda kwenye web site ya NEC nikayakuta haya matokeo yamebandikwa hapo (The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage).
sasa nimeamini!
something needs to be done. don't know what/how though.....
Kwa ushahidi wako. Unaweza tueleza mbunge anayewakilisha jimbo hilo anatoka chama gani?
Ukipitia tovuti ya bunge ametajwa kuwa ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. Sasa vipi iweje wa Tatu awe mbunge? Na CCM walikuwa wapi kulalamika?
Acheni unafiki wapambe wa Hamad Rashid Nyie. Mtasema mengi mwaka huu. Lakin Hamad Rashid OUT.
sawa...lakini je CDM walikuwa wana ushahidi rasmi kutoka NEC ambao wangeweza kuuonyesha kwa yeyote? labda ni mimi tu nilikuwa siko aware kwani nilichokiona ni majedwali tu ambayo they could have originated from anywhere!
this latest revelation is outrageously official and could have a legal bearing.
Kama ulifuatilia tahmini ya mwaka 2011 kutoka CHADEMA walisema kwamba ushahidi upo shida ni kwamba hakuna pa kuwasilisha kwa sab katiba yetu imetamka kwamba matokeo(mathalan ya raisi) hayahojiki kwenye mahakama yoyote
Dk Slaa, alishinda uchaguzi 2010