tangu matokeo ya uchaguzi mkuu 2010 yatangazwe, kiukweli nimekuwa sceptical all along na zile allegations kuwa eti matokeo yaliyachakachuliwa in favour of CCM.
nimesoma article moja kwenye raia mwema la leo inayoonyesha kuwa kwenye jimbo la Tumbe kule Pemba eti CDM walishinda kwa 83%, CCM 9% na CUF 1%. nimekwenda kwenye web site ya NEC nikayakuta haya matokeo yamebandikwa hapo (The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage).
sasa nimeamini!
something needs to be done. don't know what/how though.....

Nami nimeona mkuu,Mbona mambo haya yapo wazi?hata ndani ya hao wanaojiita usalama wanasema ni kweli kulikuwa na uchakachuaji mkubwa,swali nalojiuliza je huu uchakachuaji utakoma vipi?kumbuka 2015 si mbali hata kidogo,wakati serikali inaangaika na kukamilisha ahadi ni bora vyama vya upinzani vikajijenga pande zote za nchi,nakumbuka kipindi kile mawakala nchi nzima walikuwa wanatakiwa kama 53000 hivi,ni bora mawakala wakaanza kufanyiwa screening kuanzia sasa na kuendelea ili kuwa na uhakika kwanza wa ulinzi wa kura.kwenye mawakala hapo ni tatizo kubwa na hapo ndipo kwa sehemu kubwa uchakachuaji uchukua nafasi kubwa,tofauti na kudhibiti hapo itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
Wewe ndio umejua leo? Unadhani wakina Slaa wanakichaa au wanaropoka hovyo (kama ambavyo we are forced to believe)???
Umechelewa sana kutambua. Nadhani sasa utakuwa umeelewa ni kwanini wabunge wa cdm walitoka bungeni kwenye hotuba ya "rais wa nec!"