NEC iko kwenye kikao

Uchaguzi serikali za mitaa!! BitI ya Wakuruggenzi kutokuwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi limechanganya mambo sana.
 
... duh! hatari sana hawa jamaa!
 
Ngoja niende pale kuu street White House nikawacheki
 
hiyo picha haihusiani na kikao cha NEC ambacho kinaketi leo. hiyo picha ni ya CC ambayo ilieti jana iliyotanguliwa na kikao cha kamati ya maadili na usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…