NEC hii maana yake nini?

itakuwa idadi waloyoitaka imetimia kwahyo hawapokei maombi tena
 
Wengi tunakosea email address make sure hukosei ata . Sometimes unaweka spaces Kati ya email lazima isumbue.
 
Tuachane na hadija tusaidiane huku vipi hawa NEC servers zao mbona majanga sasa tunafanyaje
Kilochofanyika ni uzembe tu, watanzania wengi bado wako gizani na matumizi ya mtandao.

Wao mail box yao wame set quota ndogo halafu wanaitumia kupokea applications, sasa Walichotakiwa kufanya ni kutumia applications kama outlook ku download email zisikae kwenye mail box ili muda wote kuwe na nafasi ya kupokea emails
 
Duuh nimefanya uzembe sana kuikosa hii hela..
Sio mbaya usiwe mbali Sana kufatilia update mara kwa mara baada ya hiyo nafasi za kusimamia uchaguzi serikali za mitaa unafuata lazima watatangaza lakini watakaosimamia zoezi hili nahisi watapewa kipaumbele sababu watakua na uzoefu Kama watakavyofanya kwa hili waliosimamia uchaguzi 2015 kwa mfumo wa BVR wanapewa nafasi zaidi
 
Yaah mkuu haina shida..Sema hata hivyo hii info nilichelewa kuipataa
 
Nafasi zimesitishwa mpaka watakapotangaza tena
 
Kweli kuna baadhi bado si watiifu kabisa eti anasema alituma ikapokelewa.

Me pia nilituma na nikajibiwa kupitia Spam folder in my gmail account kua ninaemtumia amefikia ukomo kumbe hapo walikua wanarekebisha ili kuahirisha zoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…