NEC: Hakuna kura zitakazoibiwa

NEC: Hakuna kura zitakazoibiwa

germanium

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
890
Reaction score
1,316
NEC), imesema hakuna kura zitakazoibiwa hivyo wanasiasa waache kuwatisha wananchi kuwa wataibiwa kura.

Kauli hiyo ilitolewa Dsm Jana na mwenyekiti wa NEC, jaji mstaafu Damian Lubuva wakati wa mkutano wa Tume za uchaguzi Afrika Mashariki.

Chanzo: Jambo Leo
 
...NEC wakae wakijua tunanduguzetu masoja wanatujuza mengi pia....
 
..ni vyema kuweka msisitizo kwenye masuala ya msingi kama haya,na zisiibiwe kweli, kila mtu avune atachopanda.!
 
Mwaka huu matokeo yote yatabandikwa vituoni. Tutajumlisha wenyewe
 
Matokeo ya rais yatangazwe vituoni, jimboni na NEC Taifa. Yatangazwe mara tu yanapopokelewa sio kusubiri yote yafike.
 
Jaji luvuba asitudanganye.Ili kuthibitisha hilo kura zote za rais,madiwani na ubunge zitangazwe kwenye vitu na kubandikwa.Zikishajumlishwa kijimbo na kikata zote zitanganzwe na kubandikwa kabla ya kutumwa tume makauo makuu.Pia waruhusu vituo vyote vya runinga kuonesha live.Hii biashara ya kusema kura za rais hazitangazwi majimboni zinapelekwa kimyakimya makao makuu ili wao watangaze,hapo anatuhakikishiaje kuwa zitakuwa salama?Kuna ugumu gani zikitangazwa na kubandikwa ktk kila ngazi?
 
Lubuva ungekemea suala la ccm kuzidisha muda ktk kampeni zao, Lema akizidisha dk 6 aliwekwa selo lkn juzi na Hata siku ya uzinduzi wa kampeni ccm walizidisha muda ukakaa kimya.Tunajua kura zitaibwa lkn mwaka huu pmj na kuiba hazitatosha.Lowassa Rais wa JMT 2015.
 
ajaribu kuiba aone...mzee lubuva utatimkia abrodi kama mwenzio dactari wa blaaa
 
Tume ya taifa ya uchaguzi(nec),imesema hakuna kura zitakazoibiwa hivyo wanasiasa waache kuwatisha wananchi kuwa wataibiwa kura.kauli hiyo ilitolewa Dsm Jana na mwenyekiti wa NEC,jaji mstaafu Damian lubuva wakati wa mkutano wa Tume za uchaguzi Africa mashariki
source:Jambo Leo
Wasitudanganye hawa,kwanza hata kama haupo kwenye daftari la kupiga kura eti ukiwa na kadi tu inatosha kupiga kura,huu ni uwizi maana kuna watu wana kadi zaidi ya moja na pia tume itakuwa haina idadi kamili ya wapiga kura wake.Tutalinda kura mpaka tume wajue kuwa mwaka huu wajaribu watajua kuwa Watanzania wamepevuka sasa
 
Wasitudanganye hawa,kwanza hata kama haupo kwenye daftari la kupiga kura eti ukiwa na kadi tu inatosha kupiga kura,huu ni uwizi maana kuna watu wana kadi zaidi ya moja na pia tume itakuwa haina idadi kamili ya wapiga kura wake.Tutalinda kura mpaka tume wajue kuwa mwaka huu wajaribu watajua kuwa Watanzania wamepevuka sasa
Haki ni muhimu sana
 
Safi sana jaji make hawa wagonjwa wanahisi wana hata kura za kuibiwa wakati hata za kuokoteza hawana ..wanatengeneza hofu tu ili ionekana wakishindwa waseme waliibiwa lakini hilo NEC ishalibaini na imejua jinsi ya matumizi yao ya vitisho yanavyotengenezwa ..tunaomba NEC ipige marufuku matamshi ya aina hii kwa vyama, wao kazi yao ibaki ya kufanya kampeni tu hayo ya kura waiachie NEC make hàwachelewi kutuletea ya libya hawa wahuni
 
NEC itendeeni haki Tz yetu.... cha kujiuliza, kwa nini matokeo yote mpaka ya uraisi yasibandikwe kwenye vituo vya kupigia kura na yatangazwe kijimbo na mpaka kitaifa? Kuna nini hapo? Au kwa sbb ya sheria ya kuwa matokeo yakiisha tangazwa na NEC yemepita huwez hata ya hoji mahakamani? Maana kama huwez yahoji mahakamani au yahoji popote ina maana hata ukimtangaza aliye shindwa basi ndo matokeo rasmi? Hapa kuna shida kubwa sana.... plz NEC Tz is beyond ccm, cdm.... iko juu ya vyama... itendeeni haki....
 
NEC... watamke wazi wazi KURA ZA URAIS, UBUNGE, NA UDIWANI zibandikwe ktk vituo vyote baada ya kupiga kura...

Iwe open kwa kila mmoja...!!!
 
Tume ya taifa ya uchaguzi(nec),imesema hakuna kura zitakazoibiwa hivyo wanasiasa waache kuwatisha wananchi kuwa wataibiwa kura.kauli hiyo ilitolewa Dsm Jana na mwenyekiti wa NEC,jaji mstaafu Damian lubuva wakati wa mkutano wa Tume za uchaguzi Africa mashariki
source:Jambo Leo

Tume za uchaguz za Afrika Mashariki,hapo kuna ile iliyokuwa ya KIVUITU
 
Lowassa alituambia sisi tulinde kura zetu za ubunge na udiwani yeye atalinda zake na Mungu ni wa ajabu Lowassa ndiye raisi wetu mwaka huu
 
Bro this is nondemoctratic country.. tume haiko huru unategemea kutakuwepo na fair election kweli?
 
Back
Top Bottom