NEC: Hakuna kura zitakazoibiwa

NEC: Hakuna kura zitakazoibiwa

Acheni hii tabia yenu ya kuaminisha watu ya kuwa kura zitaibiwa/zimeibiwa kwani ndio zenu ila uhalisia wa kampeni zinavyoenda inaonekana dhahiri jawabu lake
 
Acheni hii tabia yenu ya kuaminisha watu ya kuwa kura zitaibiwa/zimeibiwa kwani ndio zenu ila uhalisia wa kampeni zinavyoenda inaonekana dhahiri jawabu lake

Wanatengeneza vitisho eti waonewe huruma wakati hata kampeni zenyewe Sera hawana zaidi ya watu kutoka wamekata tamaa. Yawezekana kabisa watu wakaja tena kwa makumi ya maelfu lakini ukashindwa kuwashawishi kwa hoja na sera na hili ndo linalotokea kwa Lowassa unapoangalia mikutano yake, watu wanaondoka na mawazo sana kwenye mikutano yake tofauti na kwa mwenzie Magufuri ambako kwanza watu wanajaa na bado wakiondoka walau wanaondoka na a, b, c vichwani mwao. Na hapo ndo tunaona kuswing kwa maelfu ya kura kutoka kwa mamvi kwenda kwa mzee wa kazi.
 
Bro this is nondemoctratic country.. tume haiko huru unategemea kutakuwepo na fair election kweli?

Kwanini mnataka demokrasia sasa kwenye uchaguzi na huku mnatambua kwamba nchi yetu si ya kidemokrasia? na ndo maana tunawaita malofa kwasababu mnadai ambacho hakipo na nyie mnalitambua hilo ila mnatumia hira zenu kuwalaghai watu, kama mlitaka demokrasia tungewaelewa kidogo kama hata nyie mngeonesha kwamba mnaiheshimu demokrasia kwa kufanya uteuzi wa wagombea wenu kidemokrasia, tumeona mlivyoingiza watu kwa misingi ya kauli za wenye chama na bado tunaona mnavyoshindwa kuheshimu makubaliano yenu huko ukawa eti leo mnakuja kuinyooshea kidole NEC, kwani nyinyi ndo mko democratic?
 
Nyimbo zao na mashairi na swaga zao ndivyo zinavyopungua kwenye vijiwe vyombo vya usafiri ktk shughuli mbalmbali maongezi ni hapa kazi magufuli anatisha wakitahamaki 25 oktoba hii hapa
 
Nyimbo zao na mashairi na swaga zao ndivyo zinavyopungua kwenye vijiwe vyombo vya usafiri ktk shughuli mbalmbali maongezi ni hapa kazi magufuli anatisha wakitahamaki 25 oktoba hii hapa

Mkuu si unaona hata hapa wamehama tayari, hamna kitu hawa.
 
Hawana kitu hao ukawa,weupe tu nchi sio kichaka cha wahuni waende huko wakauze maduka.....
 
Uchaguzi utakuwa huru pale tu tume ya uchaguzi itakapokuwa huru. Kwa sasa ni maigizo ya uchaguzi.
 
Time ya ccm itende haki sins imani!

Wapinzani hamna Tz na hili linasemwa kila siku, jamaa yenu mbowe anawauza wakati waliambiwa katiba ikishindikana warudi waangalie vifungu vinavyohusu tume huru na mgombea binafsi, kwani walienda? kwanini msiwaulize kama kweli wako serious kitu gani kiliwazuia wasiende?
 
Tusidanganyike tume bado inapokea maelekezo toka Lumumba, ingawa naweza kusema angalau hii kuliko ile ya Makame maana safari hii wametupilia mbali mapingamizi karibu yote ya CCM waliyowawekea wapinzani tofauti na uchaguzi uliopita.

Ni dalili nzuri mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Kuna mtu anajaribu kufikiri kuwa nec wanaweza kusema kuna kura zitaibiwa?
Hiyo ni kauli ya kihuni. NA MSIHARIBU KURA YANGU MKIFANYA HIVO MWAKA HUU NAKULA NYAMABICHI YA MTU
 
Kwanini mnataka demokrasia sasa kwenye uchaguzi na huku mnatambua kwamba nchi yetu si ya kidemokrasia? na ndo maana tunawaita malofa kwasababu mnadai ambacho hakipo na nyie mnalitambua hilo ila mnatumia hira zenu kuwalaghai watu, kama mlitaka demokrasia tungewaelewa kidogo kama hata nyie mngeonesha kwamba mnaiheshimu demokrasia kwa kufanya uteuzi wa wagombea wenu kidemokrasia, tumeona mlivyoingiza watu kwa misingi ya kauli za wenye chama na bado tunaona mnavyoshindwa kuheshimu makubaliano yenu huko ukawa eti leo mnakuja kuinyooshea kidole NEC, kwani nyinyi ndo mko democratic?
Yaani katika comments zoote we jamaa uliona yangu ndio ina makosa na kuamua kutokwa povuu kwa kutetea upuuzi tunaouona kwenye uchaguz? mimi kuinyooshea kidole NEC kwa kuendesha uchaguzi kimashaka mshaka ni kosa? kwa hiyo kwa sababu wapinzani walikiuka misingi ya kidemokrasia kwenye uteuzi wa wagombea basi ndio hawastahili kulalamika pale wanapo ona kuna kila dalili ya unfairness kweny uchaguzi unaosimamiwa NEC? acha ubwege wewe kama mi ntakuwa lofa wewe ni deputy wa malofa baada ya yule alietoa hiyo kauli na vikaragosi kama nyie ndio mkafuata.
 
Back
Top Bottom