Nec -ccm wamejaa wanafiki;badilikeni-rais karume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nec -ccm wamejaa wanafiki;badilikeni-rais karume

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 4, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Kwanaza nakupongeza kwa hili hadharani si mwenzio kikwete analea wachafu Nec kuogopa kukosa kura asilimia 100 wakatyi ana 70 tayari za wizi

  Raisi wa zanzibar Mh AMANI.A.KARUME amewashangaa wajumbe wa NEC CCM ambao wlaipitisha serikali ya umoja wa kitaifa SUK lakini wanageuka na kupita kushawishi watu kuikataa
  amesema kitendo hicho ni cha aibu na aibu kwa chama na viongozi wake kwani ni sawa na kupinga
  maamuzi ya chama ;Rais karume aliyasema hayo wakati wa ufunguzi wa kongamano la vijana wa ccm na vyuo vikuu mjini unguja

  Hebu wajumbe wa NEC CCM Achen kutia aibu jamani kwa hili kwa kushawishi waananchi kukataa kupiga kura serikali ya umoja wa kitaifa..sitaki kuendelea zaidi kwa hili kwa sababu naweza kuwaumbua viongozi wanaoupinga na wengine wazee wangu wakubwa wangu..kwa mujibu wa karume wapo viongozi wakubwa wa serikali ambao wanapinga uamuzi uliopitishwa na ccm katika vikao halali kuhusu SUK

  Aliwaeleza viongozi wasiopenda umoja wa kitaifa ni hatari katika jamii ya zanzibar na wala awawatakii mema wananchi wa zaznibari..ni wa kuogopwa kabisa na napenda kuwalinganisha hawa kama wakaanga ubuyu mara zote wanaawaachia wenye meno kutafuna..wakija kwenu wakataeni hao viongozi wambien tunawaogopa kama ukoma wanawakaangia mbuyu mtafune baadae wanakimbia kisiwa kabisa....huku akishangiliwa na wanafunzi hao

  kiongozi huyo alitishia kuwaumbua watu wa aina hiyo kwa sababu kamwe awawatakii mema wnanchi
  suk kamwe aikwepeki na amewabes-za viongozi wanaopitakuwahsawishi wananchi wamepitwa na wakati..alisema atashangaa kuona wananchi watakaopinga SUK...nEC nawaonya acheni unafiki jamani ......naomba kwa hili tutaumbuana
   
 2. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na bado, lazima itakwama tu
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu umeniacha hoi kwa hii niliyo bold lakini umeongea ukweli kweli tupu. Rais karume yupo sahihi kabisa, kuna watu ndani ya CCM ni wabinafsi sana wanaangalia masilahi yao tu, nafikiri Karume kaona legacy pekee ni kuicha Zanzibar ya baba yake iliyo tuli na yenye mshikamano ila Kuna watu hawataki kukubali na nitashangaa sana kama SHAMUHUNA si miongoni mwa hao watu
   
Loading...