Nduka Original - Wanawake Wamekosea nini Kwako Jamani???

Nduka Original - Wanawake Wamekosea nini Kwako Jamani???

Aisee Iselamabazi naona umeamua kuweka thread kabisa, haha haha hawajanikosea kitu chochote ni changamoto tu huwa watu wanazipata na pia hawa jamaa zetu hawajanyooka kiviiiiiiiiiiile hivyo tukae nao kimachale. Wanachoniuzi wote majibu yao ni very simple, utasikia

1. Siyo wote
2. Mara mimi sijui kama ningeamua kua muhuni yani......... kumbe ni muhuni wa kupindukia
3. Wote wanajifanya wameanza mapenzi baada ya kumaliza chuo, wakati tukiwa form two kuna ambao wanatoa mzigo
4. Yani wewe ni boy friend wangu wa 2, atajifanya wakwanza ndie aliyembikiri na alifanya kumbaka
5. Mwengine wakati una mu approach atakuambia mimi BF yuko nje kumbe yuko Manzese
6. Mara mimi kuolewa sitaki kabisa kumbe keshamaliza wachumba wote

Basi ni mambo kama hayo tu ndugu, je wewe huja experience mambo kama hayo??????

Nduka Original do you hate women? Sounds like Mysogynist!

Some men have had painful memories in childhood from women i.e mothers or other female family members who have hurt them & made them hate & not trust women.
They need to get psychological counselling to overcome Mysogyny.
Nduka Original, I bet you are among them.
 
Acheni kumuone Nduka jamani, mbona mnamjaza maneno mdomoni?Yawezekana hajawendwa na anajilia vyate traatiib...swala hapa ni wakina-mama wajibu tuhuma!!!!
 
kwanini kila siku atendwe yeye tu, itakua na yeye pia ana matatizo... Kwani nyie wanaume ndio wakweli saaaana???? hamsemi uongo?
 
tatizo lako kaka hujatambua kuwa wewe una mengi na ya kutisha kuliko hata ya wanawake wote duniani , umekomaa na wanawake je mwanao wa kike wamsaidiaje asiwe kama hao wengine, tatizo c kusema, tenda yatakiwayo kuanzia kwa dadako then ulalamike.kwani wadada hawa huyafanya na nyani! kama sio na wewe ni nani! jigeuzie kwanza macho uone utendayo, kila kona wadada kwako twajifunza nini?
 
Tatizo wakati mnawaonja wadada asubuhi huyu, mchana huyu, jioni mwingine, wakulala naye mwingine, wa kuja kufua mpya huwa mwajiona ninyi wajanja, yakisha kukuta wawaona wadada ovyo. je wakati mnawachangaya mbona huwa hamuwaambii kuwa wewe ni wa sita au wa kumi? kila mmoja wamwambia uko peke yako na utamuoa. kama wewe mmen ni mjanja wagonganishe uone. Mamen achen hizooooooo ninyi wajanja kijiweni na kusema ila kwa wanawake hamana ujanja.
 
kaka ngalikihinja , uko juu, lazima tuwe na mitazamo tofauti sio kusema wanawake, nina wasiwasi na mtu huyu.
 
kaka ngalikihinja , uko juu, lazima tuwe na mitazamo tofauti sio kusema wanawake, nina wasiwasi na mtu huyu.

Kweli kabisa mkuu; nafikiri alishawahi kuumizwa na viumbe hawa wa kike, hivyo amejenga chuki nao. Haiwezekani kila thread anayoleta hapa jukwaani ni :WANAWAKE..., WANAWAKE..., WANAWAKE...!
 
inaelekea uko busy nao sana halafu unasikia maumivu ktk kipato chako.

Una hasira nao sana.

Kata shauri, achana nao, peleka nguvu zote kwa my wife wako.
Tuachie ss ambao tumeamua 60% ya kipato analambishwa kichuda na hakuna kuchonga hapa JF.
 
Aisee Iselamabazi naona umeamua kuweka thread kabisa, haha haha hawajanikosea kitu chochote ni changamoto tu huwa watu wanazipata na pia hawa jamaa zetu hawajanyooka kiviiiiiiiiiiile hivyo tukae nao kimachale. Wanachoniuzi wote majibu yao ni very simple, utasikia

1. Siyo wote
2. Mara mimi sijui kama ningeamua kua muhuni yani......... kumbe ni muhuni wa kupindukia
3. Wote wanajifanya wameanza mapenzi baada ya kumaliza chuo, wakati tukiwa form two kuna ambao wanatoa mzigo
4. Yani wewe ni boy friend wangu wa 2, atajifanya wakwanza ndie aliyembikiri na alifanya kumbaka
5. Mwengine wakati una mu approach atakuambia mimi BF yuko nje kumbe yuko Manzese
6. Mara mimi kuolewa sitaki kabisa kumbe keshamaliza wachumba wote

Basi ni mambo kama hayo tu ndugu, je wewe huja experience mambo kama hayo??????

kwanza kabisa una tatizo wewe, tatizo lenyewe ni generalization......from that almost majibu unayoyahitaji yamejibiwa.
nashindwa hata what to say sababu yani tuhuma zako zote zipo general ila naeza kuijibia nafsi yangu!!!!

hiyo namba 3 mi sipo hapo nimeanza mapenzi katika umri mdogo hata o'level sijamaliza and i sometimes regret abt it,smtms nachukilia poa past has gone!!! have nothing to do abt it.....
namba 4 sijawahi kutamka namba ya boyfriend mie he he he nikijitahidi namwambia wewe sijui ni wa ngapi mjadala unaisha!!!
namba 6 mi kama mie napenda na natamani kuolewa ila tu ikifika right time....

na hapo kwenye bold i can say pia sio wanaume wote wamepitia hayo ulopitia wewe!!!!
acha tuhuma mbofu mbofu kwa wanawake.....
 
Back
Top Bottom