Mambo gani sasa haya mnayaruhusu yatendeke kwenye makanisa yenu,tukiwaambia hamna akili mnatabisha,
Kwanini hamuwakemei hawa wanaofanya muonekane wakristo ni watu wa hovyo namna hii..
View attachment 1176856
Au ndio mnatembea na mithali 31:6 mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea,kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini..hapa sasa ni kuongezeana uchungu mimi savanna moja hainitoshi kabisa..
View attachment 1176859
Naam pastor akiwa sambamba na mithali 23:31 usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu litiapo bilauri rnbi yake ishukapo taratibu
View attachment 1176862
Wacha masikini apewe kileo ili asahau shida zake asahau shida zake,
Huyu anaonekana alikua na kiu kweli na hii kitu
View attachment 1176867
Hizi fursa zinapatikana kanisani nasema hivyo kwasababu wakristo wengi wamegeuza nyumba za ibada kuwa fursa..
Hebu acheni hii tabia mbaya kemeeni wenzenu wanao kengeuka
Uzuri wa imani kila mtu anaamini kile anachokiamini.., kwa muungwana cha kufanya ni kuamini chake na kuwaachia waumini wengine waamini vyao.., hio ndio misingi ya Amani na Utulivu.., ukianza kuwapangia watu cha kuamini nadhani wewe ndio mwenye matatizo (unaweza kuwashauri ila sio kuwapangia wala kuwashurutisha..)
Yaaan ningepandisha mashetan nasema nataka hyo ya chupa ongezaa[emoji23][emoji23]alafu unapandisha mashetani unamwambia pastor niongezee ili nitoke[emoji350][emoji350]..
Unarudi zako home umelewa saafi
wenyewe hawajui kusoma.., au inakuwaje tafsiri yako ndio iwe sahihi kuliko wao imani yao inavyowatuma ?Tunawashauri kwa kufuata maandiko yao wenyewe yanasema nini kwenye bible..
Sijawapinga kwa kutoka nnje ya maandiko bali wao ndio.
wenyewe hawajui kusoma.., au inakuwaje tafsiri yako ndio iwe sahihi kuliko wao imani yao inavyowatuma ?
Kwangu mimi so long as Imani ya mtu haibughuzi wengine na kuwa Kero kwao.., basi all is well and good luck to them na muumba wao...
Acha maisha yaendelee kunywa konyagi nakuja kulipa
Unawelewa wazi kuhusu imani yake kuliko yeye anayoamini hio imani ?Huo ndio ubinafsi unapoona mwenzako anakengeuka na unaelewa wazi kwamba anakengeuka alafu unasema kwani yeye hajioni.
Kwani mtu anapo anza kuuugua ugonjwa wa kichaa huwa anajitambua ?
Wewe mzima ndio unatambua na ukitambua hilo yakupasa kumsaidia mwenzako..
Utakuja kukuta mke wako anapewa maji ya battery anywe utasema imani yake ndio imemtuma hivyo.
Tunawashauri kwa kufuata maandiko yao wenyewe yanasema nini kwenye bible..
Sijawapinga kwa kutoka nnje ya maandiko bali wao ndio.