Ndugu zangu wananitenga

Ndugu zangu wananitenga

Kazi za ndani ntavunja ndoa za watu, mi kukataa siwezagi
Sio lazima za ndani kama unajua udhaifu wako,na kama umesoma inabidi ujiongeza,hasa maisha haya usi mtwike mtu matatizo yako wala mtu asikupe yeye mamtatizo yake kila mtu alokua nayo yanatosha.
 
Pambana na hali yako mkuu.

Upo Dar mkoani kama upo dar baht nzuri hiki jiji hakuna kazi za kiume wala za kike...juhudi yako tu.
 
Ni ndugu wa tumbo1?

Anyway pambana uweze kujisimamia mwenyewe ndugu... Usitegemee ndugu
 
Back
Top Bottom