Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Hata wazazi si wa kuwalalamikia duniani,ilhali via vya uzazi vimeshakomaahiyo ni fursa itumie, ingawa sijabaini sawa sawa jinsia yako but whatever unatakiwa uamke utafute, hao unaowalalamikia sio wazazi wako.
Akomaze na akili yake.