TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Kasomeni Luka 11: 17
Sisi siyo ndugu zako.
Mmeanza uchochezi wetu.
Kura tutampa Lowassa.
hiyo wasukuma tunaita kura za huruma,,,,,,,:wink::wink::wink::wink::wink: ,,huu mwaka kuna wau waawambia jamani mi nina mvi ningi mniombee maana hajawahi chaguliwa rais mwenye mviNdivyo itakavyokuwa 27/10/2015 matokeo yatakapotangazwa na Magufuli kuibuka kidedea.
View attachment 285043
Ndivyo itakavyokuwa 27/10/2015 matokeo yatakapotangazwa na Magufuli kuibuka kidedea.
View attachment 285043
Udini mnaanzisha wenyewe Lowassa hajasema hayo sisi kula tutampa
"Naye akajua mawazo yao,akawaambia,kila ufalme uliofitinika wenyewe kwa wenyewe hufanyika ukiwa;na nyumba juu ya nyumba huanguka"Kasomeni Luka 11: 17
Imbeni nyimbo zote kura tutampa tu hata sisi wapagani!Ndivyo itakavyokuwa 27/10/2015 matokeo yatakapotangazwa na Magufuli kuibuka kidedea.
View attachment 285043
Lowassa ni mdini