Ndugu zangu waislamu. Kivipi Nguruwe ni haramu kwenu ingali Ngamia mnakula?

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,595
Reaction score
3,425
Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4)

Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni Ngamia. Kwa sababu ngamia hana kwato zilizogawanyika pande mbili japo anacheua (Walawi 11:4)

Kwenye Orodha ya wanyama najisi wasio faa kuliwa, nguruwe katajwa mwishoni. Kwasababu yeye hacheui, japo kwato zake zimegawanyika. Sio kwamba kutajwa mwisho inampunguzia au kumwondolea unajisi hapana. Ila basi tu katajwa mwisho. Hayo yalikuwa ni maelekezo ya mwenyezi Mungu mwenyewe.

Ninyi waislamu, kwenye hilo kundi la wanyama najisi, kwanini Nguruwe tu? Ngamia anakuwa vipi halali kwenu? Au Mungu wenu na wetu ni tofauti?
 
Kwato na kucheua ni utaratibu wa kiyahudi tu nafikiri.

Ndio maana waislam hawali nguruwe ila ngamia wana kula .

Na wayahudi hawali nguruwe wala ngamia.
 
Kama unaamini katika sheria za wanyama wa kula basi pia usiwe unachonga nywele, ukifika kwa kinyozo awe anaparua tu
 
Hata Mizoga yao msiiguse, ni najisi kwenu sawa.Swali liko hapa

katika ngano za Biblia zinaonesha namna hao wanaoitwa watumishi wa Mungu waliokuwa matajiri walikuwa na mkusanyiko wa maelfu ya wanyama wafugwao hadi wanyama kazi mfano Farasi, Punda na Ngamia. Wale waliokuwa wanakufa walizikwa vipi ikiwa hawakuruhusiwa kugusa hata mizoga yao¿

Kwako mtumishi
 
Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4)

Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni Ngamia. Kwa sababu ngamia hana kwato zilizogawanyika pande mbili japo anacheua (Walawi 11:4)

Kwenye Orodha ya wanyama najisi wasio faa kuliwa, nguruwe katajwa mwishoni. Kwasababu yeye hacheui, japo kwato zake zimegawanyika. Sio kwamba kutajwa mwisho inampunguzia au kumwondolea unajisi hapana. Ila basi tu katajwa mwisho. Hayo yalikuwa ni maelekezo ya mwenyezi Mungu mwenyewe.

Ninyi waislamu, kwenye hilo kundi la wanyama najisi, kwanini Nguruwe tu? Ngamia anakuwa vipi halali kwenu? Au Mungu wenu na wetu ni tofauti?
Nguruwe anaonewa sana. Sijui akiwakosea nini Wasabato
 
Hata Mizoga yao msiiguse, ni najisi kwenu sawa.Swali liko hapa

katika ngano za Biblia zinaonesha namna hao wanaoitwa watumishi wa Mungu waliokuwa matajiri walikuwa na mkusanyiko wa maelfu ya wanyama wafugwao hadi wanyama kazi mfano Farasi, Punda na Ngamia. Wale waliokuwa wanakufa walizikwa vipi ikiwa hawakuruhusiwa kugusa hata mizoga yao¿

Kwako mtumishi
Walitumia bakora za kuchungia kuukuma mizoga mashimoni.
 
Meanwhile Yusuf AKA Joseph
FB_IMG_1756822534251.jpg
 
Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4)

Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni Ngamia. Kwa sababu ngamia hana kwato zilizogawanyika pande mbili japo anacheua (Walawi 11:4)

Kwenye Orodha ya wanyama najisi wasio faa kuliwa, nguruwe katajwa mwishoni. Kwasababu yeye hacheui, japo kwato zake zimegawanyika. Sio kwamba kutajwa mwisho inampunguzia au kumwondolea unajisi hapana. Ila basi tu katajwa mwisho. Hayo yalikuwa ni maelekezo ya mwenyezi Mungu mwenyewe.

Ninyi waislamu, kwenye hilo kundi la wanyama najisi, kwanini Nguruwe tu? Ngamia anakuwa vipi halali kwenu? Au Mungu wenu na wetu ni tofauti?
 
Attachments

  • 20250830_004510.jpg
    20250830_004510.jpg
    40.7 KB · Views: 12
Back
Top Bottom