Ndugu zangu tusaidie masikini

Baadhi yetu tunatoa hiyo misaada kwa wenye uhitaji huku nyumbani wenye uhitaji wakihangaika..

Mfano mabeki 3
 
Hii dunia hii haiko fear.
Nilipe Kodi ya serikali, nitoe sadaka, nitoe zaka, nitoe fungu la kumi, nihudumie familia, nisaidie extended family, nichangie misiba, nichangie sherehe, nihonge, nivae, Nile, nilipe Kodi ya nyumba, nilipe bills za maji, umeme, nilipe mavazi, nk...nk.
TAFADHALI NDUGU WACHA MASIKINI WAJISAIDIE WENYEWE.
 
Nawakumbusha viumbe wenzangu kusaidia masikini,mayatima na wasio jiweza.Hakika kufanya hivi ni jambo bora na malipo yake ni Akhera
Naomba kujua kituo kimoja cha yatima kwa Dar kiko sehem gani?
 
Hii dunia hii haiko fear.
Nilipe Kodi ya serikali, nitoe sadaka, nitoe zaka, nitoe fungu la kumi, nihudumie familia, nisaidie extended family, nichangie misiba, nichangie sherehe, nihonge, nivae, Nile, nilipe Kodi ya nyumba, nilipe bills za maji, umeme, nilipe mavazi, nk...nk.
TAFADHALI NDUGU WACHA MASIKINI WAJISAIDIE WENYEWE.
Ndiyo tabia zenu fisiem hizo uchoyo, unafiki ubinafsi ufisadi uongo wivu chuki
Wizi
 
Hii dunia hii haiko fear.
Nilipe Kodi ya serikali, nitoe sadaka, nitoe zaka, nitoe fungu la kumi, nihudumie familia, nisaidie extended family, nichangie misiba, nichangie sherehe, nihonge, nivae, Nile, nilipe Kodi ya nyumba, nilipe bills za maji, umeme, nilipe mavazi, nk...nk.
TAFADHALI NDUGU WACHA MASIKINI WAJISAIDIE WENYEWE.

4 Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.

Matendo ya Mitume 10:4
 
Usipende kuandika ujumbe ambao utaishi hata baada ya kifo chako,watu watausoma wataufuata,hakika isikupumbaze dunia

Back
Top Bottom