NDUGU ZANGU TULIOKOSA MKOPO TUJIULIZE.

NDUGU ZANGU TULIOKOSA MKOPO TUJIULIZE.

Detective Dee

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
51
Reaction score
17
Hiv hawa bodi wanatumia vigezo gan kutoa mkopo? Na sifa zipi? Maana leo wametoa batch ya nne inasemekan ni ya mwisho wakat cha kujiuliza ni bajeti iliyotengwa mwak huu ni zaidi ya billion 400 na awamu ya kwanza ndio awamu iliyo na wanafunzi wengi lakini walisema imetumika sh billion 88 ambayo hata billion 100 haikufika leo hii viawamu vingine vimetok na kusemekan awam zimeisha cha kujiuliza kama awamu ya kwanza ndo yeny wanafunzi wengi na hawakuweza kutumia hata nusu ya pesa za bajeti je hawa waliobaki ndo wamemaliza kiasi kilichobaki? Au ilikuwa maigizo ya bongo movie? Ukitaka kuonekan mbayabusahaulike fuatilia haya mambo This is TANGAGIZA. i hate this leo hii sioni umuhimu wa kusoma ten maana unasoma unaishia form six chuo huend kwa kukosa mikopo masikin wenzangu polen sana pia tupo pamoja kwa wale wa dar bora siku ipangwe twende bodi tukajue hatma yetu ni nini kama virungu borabtupigwe tu kuliko kwenda kijijin ukakae mwaka mzima inauma sanaaaaaaaa.....
 
Pole kijana. kumbuka hizo bilioni 427 ni za wanachuo wote kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tano kwa wale wa sheria na udaktari. Wote jumla ni zaidi ya 120, 000.

Pia kumbuka
1. Tunajenga reli ya kisasa
2. Elim bure
3. Stieglers gorge
4. Tunanunua bombardia na dreamliner
5. Tunanunua korosho
6. Tunajenga viwanda
7. Tunajenga Dodoma makao makuu ya nchi
8
9
......

We are on the right track! Tembea vifua mbereee

Halafu hatutikisiki, ukitutikisa utatikisika mwenyewe
 
Unachopaswa kuelewa je, hiyo 400bill ni kwa waombaji wapya tu (fresher & conti) au ni kwa Mikopo yote ya 2018/19 ay?
 
Wapi HESLB wamesema batch ya 4 ndo ya mwisho?? Tatizo ukikosa mkopo unakuwa unachukua kila kitu unachosikia!! Kuna Batch bado itatoka na pia kuna dirisha la kukata rufaa!
 
Hahahaaaaa pesa zipo za korosh na si kusomesh toto la mtu tuachen tununue korosho sie hahahaaaaa #PAMBABA NA HALI YAKO.
 
Ndug zang tunalia wote ila kuna taasisi inaitw TSSF ilikuw inatoa misaada kwa watt masikin lkn mwak jan mwez wa 12 serikal imeipiga marufuku hiy taasis kutoa misaada.
 
Pole kijana. kumbuka hizo bilioni 427 ni za wanachuo wote kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tano kwa wale wa sheria na udaktari. Wote jumla ni zaidi ya 120, 000.

Pia kumbuka
1. Tunajenga reli ya kisasa
2. Elim bure
3. Stieglers gorge
4. Tunanunua bombardia na dreamliner
5. Tunanunua korosho
6. Tunajenga viwanda
7. Tunajenga Dodoma makao makuu ya nchi
8
9
......

We are on the right track! Tembea vifua mbereee

Halafu hatutikisiki, ukitutikisa utatikisika mwenyewe
duhhhhhh hyoo hatar
 
Write your reply...batch 5 j3
usiulize nani kasema wakati avata mnaiona na wanaweza wakagaili kutoa si mnajua wenyenaZO afrika furaha yao kuona maskini akiteseka badru akiingia peponi mimi ntakuwa wa kwanza kukata rufaaa kwa mungu aiwezekan dog kama uyu mtesa maskini aipate fursa hyo
 
Pole kijana. kumbuka hizo bilioni 427 ni za wanachuo wote kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tano kwa wale wa sheria na udaktari. Wote jumla ni zaidi ya 120, 000.

Pia kumbuka
1. Tunajenga reli ya kisasa
2. Elim bure
3. Stieglers gorge
4. Tunanunua bombardia na dreamliner
5. Tunanunua korosho
6. Tunajenga viwanda
7. Tunajenga Dodoma makao makuu ya nchi
8
9
......

We are on the right track! Tembea vifua mbereee

Halafu hatutikisiki, ukitutikisa utatikisika mwenyewe
Mmmh noma
 
Back
Top Bottom