NDUGU ZANGU TULIOKOSA MKOPO TUJIULIZE.

NDUGU ZANGU TULIOKOSA MKOPO TUJIULIZE.

Hahahahahahahaha nacheka kwa dharauuuuuu....

Sisiem hoyeeeeeeeeeeeee!!!!
 
HESLB wanania nzur tu na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa tz ndo maana ukiangalia vzur mwaka huu wamejitahidi kutoa mkopo bila kujali unasoma faculty gan na bado wanaendelea kuyapitia maombi ya wanafunzi wote na lengo ni kuhakikisha Kila mwombaj anapata I'll mradi tu ni miongon mwa wahitaj want mkopo kwa hiyo Kama we hujapata just kwamba haujasahaulika na bado maombi yako yanafanyiwa Kaz so subiri had waseme wamemaliza ndi uanze kulalamika na sio kuanza kulialia wakat bado wanakifanyia mchakato ,utajikuta unajitia mkosi we mwenyewe
 
batch zote zimeshatoka na sasa wanakata rufaa
 
Pole kijana. kumbuka hizo bilioni 427 ni za wanachuo wote kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tano kwa wale wa sheria na udaktari. Wote jumla ni zaidi ya 120, 000.

Pia kumbuka
1. Tunajenga reli ya kisasa
2. Elim bure
3. Stieglers gorge
4. Tunanunua bombardia na dreamliner
5. Tunanunua korosho
6. Tunajenga viwanda
7. Tunajenga Dodoma makao makuu ya nchi
8
9
......

We are on the right track! Tembea vifua mbereee

Halafu hatutikisiki, ukitutikisa utatikisika mwenyewe
Umenena mkuu, awamu hii ya hapa kazi tuu inafanya vyema mpk nchi za nje wanajaribu kukopi kwetu[emoji2]
 
Back
Top Bottom