Kiukweli ninaukaribu nao sana maana ndugu wa mke wangu wananisaidia sana nilivyo enda kumzika baba nilikuwa nimepata shamba nanilime ila nilimuacha mke wangu asimamie sema tu alikuwa ni mja mzito hivyo ndugu zake walisimamia kila kitu mi nilijua halita limwa ila nilikuta limelimwa na wametoa pesa zao dah!Pole sana mkuu, inaumiza sana najua hali unayopitia. Jaribu kujenga ukaribu sana na watoto wako pamoja na ndugu wa mke wako itasaidia
Shikamana na hao maana ndio wema kwako na ndugu wa watoto wako. pia jitahidi upate watoto wengi maana kuna hasara kubwa kua na watoto wachache humu dunianiKiukweli ninaukaribu nao sana maana ndugu wa mke wangu wananisaidia sana nilivyo enda kumzika baba nilikuwa nimepata shamba nanilime ila nilimuacha mke wangu asimamie sema tu alikuwa ni mja mzito hivyo ndugu zake walisimamia kila kitu mi nilijua halita limwa ila nilikuta limelimwa na wametoa pesa zao dah!
Siwezi kuoa mke zaidi ya mmoja mkuu, huyu huyu niliye nae ananitosha.hapo ilipo ndipo pa kuanza kutengeneza ndugu wa ukoo wako.....zaaa bila kukoma.....uwe na ukoo wako...oa na mke mwingine...usiache...anzisha kizazi chako...kitakuwa na furaha daima.......
sawa piga pumbu mno...mpaka 9....ili uwe busy na wanaoSiwezi kuoa mke zaidi ya mmoja mkuu, huyu huyu niliye nae ananitosha.
hahaaAsante kwa ushauri
Saivi nipo na maisha yangu nimeajiriwa mkuu.We jamaa acha utoto!!jiamulie maisha yako!sepa katafute kazi Binafsi ufanye tengeneza maisha yako!!!kuwa na msimamo!halafu sepa hapo nyumbani!unasubiri nini????FANYA HARAKA!NISIJE KUKUZABA VIBAO!!!UMEMALIZA CHUO UNAKAA KWA NDUGU UNAFANYA NINI WEWE????!!!JISIMAMIE AISEE NDIO UTAHESHIMIKA!!!!
Hao wanatosha....Wapo watoto wa marehem baba yangu mdogo nawasaidia, na ninawasomesha unalingine? Pia babu yangu namtumiaga pesa ya matumizi kila mwisho wa mwezi.
Pia kuna dada yangu ambae ni binam nilimpa mtaji afanye biashara na hiyo pesa nilimpa tu japo huyu dada yangu ananijari kwenye shida na raha.