Ndugu zangu,naomba muniombee duah ndugu yenu,..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu zangu,naomba muniombee duah ndugu yenu,..!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mr.mzumbe, Feb 1, 2012.

 1. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  As-salaam ndugu zangu wa jf.
  Naamini wote wazima wa afya,mimi huku mzima,hofu kwenu muliombali nami.
  Madhumuni ya barua hii ni kuwafahamisha mnamo siku ya jumatatu,tarehe 6 jan 2012 tutaanza rasmi mitihani ya kumaliza semester 1 au UE.Nachukua fursa hii kuwaomba ndugu zangu muniombea DUAH kwa M/MUNGU anifanyie wepesi na ku-avoid SUPU+DISCO za chuoni/MZUMBE.
  Wako Mtiifu,
  Mr.mzumbe.
  Ahsante
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Soma kwa bidii na sali pia sana na sisi tunakuombea Mungu wetu mwaminifu atakufanikisha. ila usisahau kumshukuru ukifanikiwa
   
 3. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Ahsante sana ndugu Mzalendo.Mwenyezi Mungu akuzidishie.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wenzio kesho tunaua.
   
Loading...