Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 12,572
- 23,669
,,,πππππ Ni kweli kabisa maana ni sawa na mii niligusana na alie shambuliwa na nyuki daaah nilichokipata ππππ..Akimgusa tu na yeye anakua kama alivyo mgonjwa
Siyo maneno yangu ni maneno ya Depal
Mi ishawah nitokea au nikikuna sana panatokea hivyo mtu anadhan lovebiteHata kama ndio kumpa moyo hapo kapigwa
Pole sana, tafuta bia mbili unyweHuyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.π‘π‘
View attachment 2642084
Ukiona manyoya ujue ............... mzebaba kuchapiwa ni siri ya ndaniHuyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.π‘π‘
HaifungukiHuyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.
Ukiona manyoya....ameliwa huyoHuyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.π‘π‘
mwanamke hawezi kuwa na love bite, ni alikabwa shingo wakati anapelekwwa moto. jamaa alitaka amtoe roho kabisa.Huyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.π‘π‘
Huyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.
Huyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.