technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,695 Reaction score 58,738 Jun 5, 2025 #1 Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,413 Jun 5, 2025 #2 usije kuambiwa wewe ni shetani unajificha gizani.kwani umeme wa ethiopia na wa mabomu ya nyuklia ujasikia hupo
usije kuambiwa wewe ni shetani unajificha gizani.kwani umeme wa ethiopia na wa mabomu ya nyuklia ujasikia hupo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,656 Reaction score 870,334 Jun 5, 2025 #3 technically said: Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia? Click to expand...
technically said: Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia? Click to expand...
K kimbomba25 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,182 Reaction score 2,153 Jun 5, 2025 #4 technically said: Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia? Click to expand... 'Kenge' mnataka umeme wa nini?
technically said: Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia? Click to expand... 'Kenge' mnataka umeme wa nini?
pamoja Santa JF-Expert Member Joined Jan 6, 2019 Posts 1,273 Reaction score 1,720 Jun 5, 2025 #5 Hivi humu waganga na wachawi hawamo asee? majina ya huyu mama si yanajulikana kama mnavyowaroga watu wengine fanyeni basi na hapa yani hata radi ya elfu 5k imeshindikana asee
Hivi humu waganga na wachawi hawamo asee? majina ya huyu mama si yanajulikana kama mnavyowaroga watu wengine fanyeni basi na hapa yani hata radi ya elfu 5k imeshindikana asee
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,989 Jun 5, 2025 #6 Source ya Taarifa Yako?
Notorious_Marcc JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2,598 Reaction score 6,146 Jun 5, 2025 #7 Una undugu na jini mnyonya damu za Watanganyika wasiokuwa na hatia??? 🤒