Ndugu yangu Kikwete, Kadi yangu utaikuta mlangoni

Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.

Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
naichukia CCM kama nn
 
Au nikisema wabunge wetu huwa hawanaga kawaida ya kutafakari mambo kabla ya kutoa maamuzi basi Mimi naonekana siyo mwana ccm!. Na tusipokuwa na kawaida ya kusema ukweli kuna Siku tutakujashikana uchawi wenyewe. Ndiyo maana tunaona kila uchaguzi baada ya miaka mitano wapinzani wanazidi kuongezeka na sisi tunazidi kupungua.

Ebu tizameni hii aibu waliyotuletea Juzi hawa wabunge wetu. Imekuja hoja ya VAT ktk miamala ya benki, wameipitisha hoja kwa 100% lakini cha ajabu wao wenyewe hawajui hii kodi nani anatakiwa kulipa! Matokeo yake ni gavana na Waziri wanalumbana. Hii ni aibu yetu sote ccm. Ati mtu akisema tu ukweli basi hapo hapo unakuwa siyo mwanaccm. Tuache unafiki. Siyo kwamba ni lazima uwe muongo ndiyo uwe na sifa ya kuwa mwanaccm
 
Umesema kweli tupu!

Yaani hata kudadisi bali ni kugonga meza tu. Wabunge kazi yao ni kushauri ili kila maamuzi yawe fair kwa kila upande. Inasikitisha
 
Kitendo cha wabunge wetu kukubali na kuunga Mkono hoja 100% ya ongezeko la VAT kwa watalii ni namna nyingine ya kutupunguzia wanachama ktk chama chetu. Kwa sababu sera yetu ni kuwapunguzia wananchi ukali wa maisha. Sasa ikiwa watalii 8000 wamekatisha ziara zao, je? Hao waliokuwa wanategemea hawa watalii ili waishi wataishi vipi!.

Ukweli humuweka mtu huru daima. Siyo uongo kuwa hali za wananchi kwa sasa ni ngumu kuliko kipindi chote tangu Mwinyi, Mkapa na Rafiki yetu Kipenzi Kikwete.Tukumbuke Mzee Mwinyi alipoingia tu madarakani ndani ya kipindi cha miezi 3 tu nchi ilijaa furaha kwa sera yake ya RUKSA .

Sasa hivi bado miezi 3 tu kutimia mwaka. Hii sera ya mafisadi mpaka sasa imesaidia nini wananchi ?
 
Uwe CCM,chadema,cafu,tlp,kwangu Ilo sio muhimu at a kidogo,cha muhimu naangalia ujumbe wako kama unaukweli wowote,au unajenga.
 
Siyo lazima kila kitu tuingie Mkono ati kisa tuko ccm. Lazima Mabaya tupinge pia.Nikipinga maamuzi ya kufuta vibali vya sukari kabla ya kujiandaa pia nitaonekana siyo mwana ccm. Lakini madhara yanapotokea Kama yaliyotokea, tunaanza kunong'ona kinafiki.

Ninapopinga Raisi asipewe kwanza uenyekiti wa chama naonekana pia siyo mwana ccm. Kwamba ili niwe mwana ccm ni lazima nijitoe ufahamu wakati tayari madhara ya wazi wazi yameshaonekana.!
 
TUNAWAELEWA MNAOLIA JPM ASIPEWE UENYEKITI, HATA GWAJIMA YULE ASKOFU ALIYESEMA HIZI NI ZAMA ZA LOWASA NA HAKUNA WA KUMZUIA PIA ANAJUA......

NDO MAANA MPO ZAIDI YA 2,000 MTAENDA DODOMA KUPINGA ASIPEWE UENYEKITI.......

HONGERENI BAVICHA MAANA TULIKUWA HATUJAJUA KUWA MNAPINGA JAMAA KUPEWA UENYEKITI..... ILA DUA LA KUKU HUWA HALIMPATI MWEWE......

KADI MTAKAZORUDISHA ZITAKUWA ZA CHAMA GANI VILEEEE???? Nadhani za Club ile ya wavua samaki waliofungwa na TP MAZEMBE (joke kidogo)
 
Kikwete ni Mwenyekiti wetu bado. Mbaya wa Kikwete ni mbaya wetu watu wote wa ccm. Kitendo cha kumkaribisha na kumsifia mbaya wa Mwenyekiti wetu Kagame, Mimi sijafurahi kabisa. Lazima niseme ukweli. Ndiyo maana napinga. Kupewa uenyekiti kwa sasa nasema no. Ngoja tumchunguze vizuri kwanza.

Ina maana wananchi woote wasomi wetu hakuna wenye uwezo wa kutuwekea mfumo mzuri wa kukusanya mapato ya serikali hadi Watutsi wake watuwekee. Hii ni dharau kubwa kwetu wana ccm. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Au hatuwezi kuagiza ndege sisi wenyewe mpaka Kagame awe dalali wetu! Haya ni maajabu. Hata asiyekwenda shule anao uwezo wa kuagiza ndege tena kwa kutumia google tu. Hatari sana.
 
Nakuunga mkono kuirudisha ikiwa atampa na usukani wa gari ya pili wakati hili lorry analoliendesha linaonekana kung'olewa steering !!!
Hahaha...ndugu yangu jogi mbona upo huru namna hiyo, huogopi? Mimi naogopa kaka...
 
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.

Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Kama unaelewa katiba ndio inamlinda raisi mstaafu na sio raisi ni kipi kimekufanya ushindwe kuelewa katiba ya CCM ndio inayotumika kumpata Mwenyekiti na sio Kikwete?!
 
Nchi yenyewe sasa hivi inaenda kama bus lililokata center bolt, jee hilo li chama si ndio itakuwa kama Lori linaloshuka Kitonga huku dereva kafumba macho!
 
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.

Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Ukawa wanamatatizo
 
Usidanganye watu. WEWE SIO MWANA CCM hata tone. Ndio wale wapinzani mnaoogopa Magufuli kuongezewa madaraka. Wewe ni kati ya wale mnaosema (japo nina uhakika mnafahamu hamtafanikiwa) mtazuia ule mkutano wa Dodoma wenye lengo la kumkabidhi Magufulu uenyekiti wa CCM.
mpinzani gani huyo mjinga aogope magufuli kupewa uenyekiti wa ccm ni hasara gani upinzani itapata endapo magu atapewa huo uenyekiti jaribu kutumia kichwa chako mkuu kujibu hoja
 
Back
Top Bottom