Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.
Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.