Ndugu yangu anatafuta kazi, amesoma Shahada ya Culture Tourism and Heritage

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,678
12,351
Ndugu zangu kwa mwenye msaada wa hilo jamani. Nina ndugu yangu kamaliza hiyo shahada na kuna baadhi ya field na sehemu zingine za kazi alishafanya zihisuzo utalii, anatafuta kazi.

Msaada jamani
 
Kuna course nikionaga mtu anasoma Tanzania hii huwa najiuliza alifikiria nini!
Aendelee kujitolea hatokosa hela ya mafuta mpaka hapo ngekewa itakapomuangukia ya kupewa mkataba. Aende kwenye mahotel ya kitalii hata Zanzibar huko kazi hatokosa za kujishikiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama amesoma kozi hiyo ya Utarii, hapa Nchini lazima atie kambi katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ikiwemo Zanzibar yenyewe. Hapo atakuwa anaishi katika mazingira rafiki na supportive kupata kazi kirahisi.

Sasa cha ajabu, utakuta mtu kasoma kozi hiyo na halafu unamkuta anakaa Dar es salaam, iringa, mbeya, mtwara, Shinyanga n.k.

Kuna jamaa yangu yeye ni mtaalamu wa lugha ya kifaransa, nakwambia toka amemaliza chuo amekuwa akiishi Arusha na Kilimanjaro na sasa ivi kapatia maisha Zanzibar. Kwa sasa yuko safi maisha bomba ndani ya sekta za kitalii.

Jamani, aina ya kozi ulosoma automatically inakudirect mahakama pankusihi na jamii ya kuishi nayo.
 
Hii fani niliona inapata jina 2016-2017 sijui kulipita upepo gani watu wakaenda nao


___Mjini kuna wambeya___
 
Back
Top Bottom