HOTELIA ANATAFUTA KAZI

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
habari za wakati huu wakuu, kama kichwa cha maada kinavyojieleza nina jamaa yangu jinsia kiume,umri 29 years ana certificate ya tourism and hotel management anaexperience ya kufanya kazi sehemu mbalimbali tanzania bara na visiwani, kwa bara kafanya kazi ARUSHA,MBEYA,BAGAMOYO,NJOMBE na DODOMA akiwa kama waiter,barmen na manager wa food and drinks. ana experience ya miaka kumi katika taaluma hii, kwa sasa yupo tu mtaa na anatafuta kazi ya taaluma yake hivyo anaomba msaada kwa yeyote mwenye kuweza msaidia
kwa mawasiliano nambari 0748106950
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom