Ndugu wanaJF kwa yeyote atakayeguswa naomba anisaidie katika hili...

Mkuu umeandika vizuri sana sana... Pongezi kwako
 
Mkuu kama unaomba hadi kuwa barmaid basi ni kwamba upo serious sana ,. Sasa mimi nakushauri uza hiyo smartphone jumua mahindi mabichi uanze biashara ya kuchoma mahindi, jumua mihogo uichome kwa mkaa kidogo tu .
Wazo zuri... Kuna usemi " Cha kwako ndio kina kusaidia "
 
Ukitoka bann nijurishe...
HEHEE HATA NINGEKUWA NAYO NISINGEKUPATIA MAANA HATA OFISINI UNAUONYESHA USINGEKUWA SERIOUS ....................... KM UNAWEZA SALES SEE ME INBOX INA ANAHITAJIKA MTU SERIOUS NA KAZI MAANA BOSS MWENYEWE ANAKIMBIA HATEMBEI KWA EMOJ HIZI HUTAWEZA
 
Jamani msaada wenu mkuu..
mkuu kuna kazi ya KILIMO cha jembe la mkono utaweza??? Tanga na huku Kisarawe njoo tulime mpunga, mahindi na maharage na kitunguu achana na mambo ya huku mtandaoni utapasuka kichwa...KILIMO KWANZA ila jiandae mikono kuota sugu sio lelemama ila pesa ipo, KARIBU..
 
NIPO Magharibi mwa Tz kanda ya ziwa..
 
HEHEE HATA NINGEKUWA NAYO NISINGEKUPATIA MAANA HATA OFISINI UNAUONYESHA USINGEKUWA SERIOUS ....................... KM UNAWEZA SALES SEE ME INBOX INA ANAHITAJIKA MTU SERIOUS NA KAZI MAANA BOSS MWENYEWE ANAKIMBIA HATEMBEI KWA EMOJ HIZI HUTAWEZA
Sasa na wewe Mulhat mbona haueleweki.. unasema ungekuwa nayo usingempatia hapo hapo unamuita ya sales.

Be serious kama unamsaidia mtu msaidie.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…