Ndugu Lema; taarifa za utekwaji "MO" zilete Central; Kufanya mkutano hauruhusiwi kisheria na utakamatwa

Ifike mahala tuheshimu mamlaka zilizowekwa kwa mjibu Wa sheria;
Suala la utekwaji "MO" lipo kwenye uchunguzi, na vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi huo, mwenye taarifa juu ya utekwaji huu anaombwa either kuzipeleka central / kituo chochote au awasiliane na familia ya mtekwaji.
Kitendo cha kufanya mkutano kuongelea swala ambalo lipo kiuchunguzi ni kufanya kosa ambalo linaweza sababisha kuharibu upelelezi unaofanywa na Jeshi.
Kwahiyo ndugu lema na genge lake Wasithubutu kufanya makosa hayo!
Jeshi linafanya upelelezi kwa gharama kubwa ambazo zinatokana na kodi za wananchi;
kwahiyo haliwezi kuruhusu mtu yeyote aharibu uchunguzi huu kwa mitaji ya kisiasa!
Asije akalaumu akithubutu kwasabu haitawezekana na atakamatwa haraka sana!!! labda ajirecord chumbani kwake;
Rudia kusoma ulichoandika ... Alafu jiulize issue ya Mo Dewji iko before the court of law!!?? Ndio utaelewa tofauti ya masuala ya mahakamami na masuala ya upelelezi...
 
Ifike mahala tuheshimu mamlaka zilizowekwa kwa mjibu Wa sheria;
Suala la utekwaji "MO" lipo kwenye uchunguzi, na vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi huo, mwenye taarifa juu ya utekwaji huu anaombwa either kuzipeleka central / kituo chochote au awasiliane na familia ya mtekwaji.
Kitendo cha kufanya mkutano kuongelea swala ambalo lipo kiuchunguzi ni kufanya kosa ambalo linaweza sababisha kuharibu upelelezi unaofanywa na Jeshi.
Kwahiyo ndugu lema na genge lake Wasithubutu kufanya makosa hayo!
Jeshi linafanya upelelezi kwa gharama kubwa ambazo zinatokana na kodi za wananchi;
kwahiyo haliwezi kuruhusu mtu yeyote aharibu uchunguzi huu kwa mitaji ya kisiasa!
Asije akalaumu akithubutu kwasabu haitawezekana na atakamatwa haraka sana!!! labda ajirecord chumbani kwake;
Acha kutisha watu na Sheria uchwara. Jambo linalokatazwa kuzungumzwa ni lililoko Mahakamani na Sio polisi. Kaa kimya kama hujui kitu.
 
Hivi mambo mangapi polisi walijinasibu kuyachunguza na mpaka leo hawajaleta mrejesho kwa jamii au hata kuwapata wahusika?.
Lema anatambulika na mamlaka kama waziri kivuli wa mambo ya ndani, fahamu kuwa Godbless Lema anamamlaka ya kulizungumzia hili suala hata kuliko Polepole au Mwakyembe.
Kama polisi watamshika Lema basi ni kwakuwa uvunjaji wa haki za binadamu na sheria umetawala nchi hii.
Jambo lilillofika mahakamani ndo ambalo halipaswi kuzungumzia.
 
Ifike mahala tuheshimu mamlaka zilizowekwa kwa mjibu Wa sheria;
Suala la utekwaji "MO" lipo kwenye uchunguzi, na vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi huo, mwenye taarifa juu ya utekwaji huu anaombwa either kuzipeleka central / kituo chochote au awasiliane na familia ya mtekwaji.
Kitendo cha kufanya mkutano kuongelea swala ambalo lipo kiuchunguzi ni kufanya kosa ambalo linaweza sababisha kuharibu upelelezi unaofanywa na Jeshi.
Kwahiyo ndugu lema na genge lake Wasithubutu kufanya makosa hayo!
Jeshi linafanya upelelezi kwa gharama kubwa ambazo zinatokana na kodi za wananchi;
kwahiyo haliwezi kuruhusu mtu yeyote aharibu uchunguzi huu kwa mitaji ya kisiasa!
Asije akalaumu akithubutu kwasabu haitawezekana na atakamatwa haraka sana!!! labda ajirecord chumbani kwake;
mkuu mbona za Ben Saanane walikuwa wanatoa, japo hadi kesho lipo kwenye uchunguzi mkali.
au kuna matabaka ya uraia. nimejaribu kuwaza wakati nakusoma
 
Kama u mtumishi wa umma basi hujapata Induction bado.
Maana induction imechambua aina za zawadi na namna ya upokeaji wake.
Kaa kimya
hakukuwa na mlalamikaji, pia hakuna ushahidi Wa tukio lile kuhusiana na kazi, haikatazwi kiongozi kutoa zawadi
 
hauruhusiwi kuharibu upelelezi! ni kosa kwa mjibu Wa mwenendo Wa makosa ya jinai,
pia kuna kosa la uchochezi ambalo ni kosa jingine! kama ana taarifa azilete kwenye mamlaka
Ukada wetu usitufanye tuwe wapumbavu kiasi hiki, kwa kusema ataharibu upelelezi na kama vile unatuaminisha kuwa unajua anachosema Lema ni kweli juu ya utekaji wa MO. Kwa msingi huu kuna watu wanajihami wasitajwe, nawe umekuwa mdomo wao hapa. Kutoa taatifa kwa public kwa tukio lisilo mahakamani ni sawa kabisa na kama polisi baada ya kusikia wataona wanahitaji maelezo zaidi watamuita na kumhoji. Acheni huu uzwauzwa wa kuumiza watu na hamtaki wasemewe na wenzao.
 
Ifike mahala tuheshimu mamlaka zilizowekwa kwa mjibu Wa sheria;
Suala la utekwaji "MO" lipo kwenye uchunguzi, na vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi huo, mwenye taarifa juu ya utekwaji huu anaombwa either kuzipeleka central / kituo chochote au awasiliane na familia ya mtekwaji.
Kitendo cha kufanya mkutano kuongelea swala ambalo lipo kiuchunguzi ni kufanya kosa ambalo linaweza sababisha kuharibu upelelezi unaofanywa na Jeshi.
Kwahiyo ndugu lema na genge lake Wasithubutu kufanya makosa hayo!
Jeshi linafanya upelelezi kwa gharama kubwa ambazo zinatokana na kodi za wananchi;
kwahiyo haliwezi kuruhusu mtu yeyote aharibu uchunguzi huu kwa mitaji ya kisiasa!
Asije akalaumu akithubutu kwasabu haitawezekana na atakamatwa haraka sana!!! labda ajirecord chumbani kwake;
Vyombo vya usalama mi washukiwa|wahusika wa utekaji wa Mo, utapelekaje taarifa kwa mshukiwa?
 
Bwana Lema hili swala ungekaa pembeni. Manake inavyoonekana kuko na namna usije ukawa mtego manake kumbuka unaweza weka mtego akanaswa fisi je utamla?
 
Lema azuiwe kuongea.
Nacho elewa lema hana upelelezi wowote ila anataka ongelea haya maswala ya utekaji yamekaaje na namna gani serikali yachukulia kawaida tu.

Ila kwanini watu mnapaniki sana msinye jinyea tu wakati hata bado hajaongea
Hawataki wenyewe😅
 
Lema akizipeleka central atakamatwa maana sasa ni utamaduni. Waliambiwa taarifa za rushwa ya madiwani na wazipeleke takukuru. Mwisho wake unaujua. Hakuna sheria inayompangia mtu jukwaa la kufichua umafia, na ukiona ipo ujue wahusika ni.......
Ifike mahala tuheshimu mamlaka zilizowekwa kwa mjibu Wa sheria;
Suala la utekwaji "MO" lipo kwenye uchunguzi, na vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi huo, mwenye taarifa juu ya utekwaji huu anaombwa either kuzipeleka central / kituo chochote au awasiliane na familia ya mtekwaji.
Kitendo cha kufanya mkutano kuongelea swala ambalo lipo kiuchunguzi ni kufanya kosa ambalo linaweza sababisha kuharibu upelelezi unaofanywa na Jeshi.
Kwahiyo ndugu lema na genge lake Wasithubutu kufanya makosa hayo!
Jeshi linafanya upelelezi kwa gharama kubwa ambazo zinatokana na kodi za wananchi;
kwahiyo haliwezi kuruhusu mtu yeyote aharibu uchunguzi huu kwa mitaji ya kisiasa!
Asije akalaumu akithubutu kwasabu haitawezekana na atakamatwa haraka sana!!! labda ajirecord chumbani kwake;
 
inategemea unaongea nini na wapi; ya msikitini yatasemwa msikitini, ya kitandani yatasemwa kitandani! huwezi lia kimahaba msibani
Ujumbe umeshafika, anachotaka Lema sio kuongea habari za MO bali anataka kukamatwa ili tumwongelee yeye badala ya kuongelea issue za Kubenea na Komu. Ni anajitolea kuumia kufanya kazi ya kukinusuru chama.
 
Jamani Bilioni Moja ! Lema tutafute hiyo hela dau.Ila mwenzenu roho inaniuma kama aliyetekwa ni kaka yangu au mwanangu ,mimi kama mama tumbo la uzazi linauma mwenzenu.Jana nimeanza kusali Zaburi ya 43 :1-5 kwa siku arubaini kuanzia jana.Naamini Mungu wetu atatenda muujiza baada ya siku saba kuanzia jana.Mungu ipe wepesi familia ya Mo.Sisi wote ni wapitaji na hata hao waliomteka wanafuraha ya muda tu kwani naamini wameanza kuhuzunika na kujuta mioyoni mwao.
 
Back
Top Bottom